Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha kuskitisha kq ina milioo ndege 3 tuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† ina miaka zaidi ya 45 lakini air tanzania imefufuliwa 2yrs ago ina ndege 8 huoni ajabu hapo
Jamaa anataka aturingishie ndege ambazo sio zao, tena anajitapa kwelikweli πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Heheheee...unafikiria mm sina macho...shabiby ulituma hadi ukachoka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shabiby ni kampuni kubwa sana na pia ana mabasi ya kila aina labda nikuoneshe ili uache kuliaπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Jamaa anataka aturingishie ndege ambazo sio zao, tena anajitapa kwelikweli πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
Hahahha miaka 50 ya shirika eti wanamiliki ndege 3 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wakat air tanzania imefufuliwa juzi ina ndege 8 brand new
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]sio kw povu hilo
 
Sasa niwapeleke kwenye marine transportation nikawatoe uharo πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Hahahha miaka 50 ya shirika eti wanamiliki ndege 3 πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† wakat air tanzania imefufuliwa juzi ina ndege 8 brand new
Si ajabu hata hizo tatu hazifahamu ni zipi, mara ukute ni vile vipipa vidogo kuliko q400 πŸ˜€ πŸ˜€
 
Wale watanzania mnaotaka kutumia sgr...smart coach inakupeleka hadi katika station husika .....

Business minded people...napenda sana watu wa aina hii...unajitengezea fursa...duh!!!
 
Kwa jinsi pro Tzn blind praise team wanavyoongea nikajua huko northern Kenya ni kuna ngamia na punda tuu kumbe hata huko kuna maendeleo.
Sishangai sana maana uchumi wa Kenya ni mkubwa sana
 
Always in denial...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sijui kama iko nchi africa ina modern marine transport kama hzi sina hakikaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Kilimanjaro 1

Kilimanjaro 2

Kilimanjaro 3

Kilimanjaro 4

Kilimanjaro 5

Kilimanjaro 6

Kilimanjaro 7
 
Kwa jinsi pro Tzn blind praise team wanavyoongea nikajua huko northern Kenya ni kuna ngamia na punda tuu kumbe hata huko kuna maendeleo.
Sishangai sana maana uchumi wa Kenya ni mkubwa sana

Lamu, Turkana, Masabit, Moyale kote huko njaa tupu na Ukame,
Watu wanakunywa mikojo ya Punda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…