Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi za kawaida sana zile[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1134883
Bado sana tulia👇👇👇👇
22559DC7-A75D-4C77-8115-4A145D78A337.jpeg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]turkana hoyeeeeee

Gamora umekula za Uso baada ya kuchokonoa Bukoba,
And I Game Over give you freedom to chose among any of these regions of Tanzania and ask a showcase..
Iwe Tabora, Kigoma, Musoma, Moro, Tanga, Iringa, Moshi,Songea, Mtwara, Sumbawanga, Dom, Zenji, nk
 
Duh!!!naona turkana leo imekulemea sana....mpka makanisa....aii jamani...
Anyway unaweza ukalifungulia uzi watu wachangie
Hii sio Kenya ya tisini kila mkoa na kila gatuzi limejengwa walikua wanashoboka wakidhani turkana ni kama vile vikoa vya kwao vya kipumbavu!. Turkana licha ya kua na matatizo ya ukame wamejizatiti kuijenga.
 
Back
Top Bottom