Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tuonyeshee ya kwenu yenye mabus
Nitajie kampuni km tatu tu nikuonyeshe stage zao plus na hvo vitu vngine...km waiting lounge...
Si eti mnajengewa vitu empty vyenye hta havina mabasi....receipt hapo mnaktia wapi...then waiting lounge ni kw hayo mabenchi...aii jamani...si hapo unapigwa na vumbi tu..
 
Acha blah blah we mkibera,lete picha ya main nairobbery bus terminal,hiyo ya kampuni kuwa na stage zao hata TZ zipo,sisi tunataka utuletee ile ya kiujumla hapo mungiki land km ya pale Dar ubungo terminal
 
Acha blah blah we mkibera,lete picha ya main nairobbery bus terminal,hiyo ya kampuni kuwa na stage zao hata TZ zipo,sisi tunataka utuletee ile ya kiujumla hapo mungiki land km ya pale Dar ubungo terminal View attachment 1134250
Nionyeshe watu wanapokatia tikiti na waiting lounge katika hzo terminal zenu km si kituko...we unaniletea maandishi
 
Nionyeshe watu wanapokatia tikiti na waiting lounge katika hzo terminal zenu km si kituko...we unaniletea maandishi
Chang'aa ishakuharibu ubongo,onyesha wewe kwanza hizo za kwenu zenye waiting lounge,mbona uelewi!umestick kwenye kudai za kwetu ni kituko onyesha zenu basi zilizo bora
 
Chang'aa ishakuharibu ubongo,onyesha wewe kwanza hizo za kwenu zenye waiting lounge,mbona uelewi!umestick kwenye kudai za kwetu ni kituko onyesha zenu basi zilizo bora
Cheki hyo kwanza...watu wana book...kionjo tu hicho

Attachments

  • thumbs_dsc099101.jpeg
    3.2 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…