Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio hii umeleta😆😆😆😆😆 narudia swali tena atoker nkenya aniletee hospital kubwa na ya kisasa kama hii yenye 1000beds nje ya nairobi👇👇👇👇
 
Unajua maana ya kuomba...heheheee!!!hakuna siku nyangau ataweza kuomba kitu ambacho anakitolea hela...eti naenda dukani kisha nisema naomba...kwn ni bure...

Wameomba wauziwe sasa niuamuzi wetu kuwauzia au kutowauzia ni
 
verbal diarrhea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…