[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]povuuuu!!!leta mahindi bida tununue angalau na wewe utapata hela za kujikimu...wacha kupiga kelele na kuimba nyimbo za mapambiokama sisi tunavyowadharau kwenye mambo ya kawaida kabisa.
watu na akili timamu mnakufa njaa[emoji23][emoji23][emoji23],akili mnazitumia wapi??
Ni mm hakuna mwingine kwenye hili jukwaa nae react against ujinga wa praise team,Kuna nyuzi nyingi nimeanzisha kwenye majukwaa mengine eti akina tuusan wananiuliza mbona sieleweki eti huku mnaniita mkenya basi mimi najibu tu stick kwenye hoja zangu mambo ya utaifa utaamua wewe unavyojiskiaunajishtukia mkuu,mimi sijakutaja wewe.
kwani nawewe ni maarufu kiasi hiki humu!!!
kwahiyo unalazimisha uwe wewe sio!!Ni mm hakuna mwingine kwenye hili jukwaa nae react against ujinga wa praise team,Kuna nyuzi nyingi nimeanzisha kwenye majukwaa mengine eti akina tuusan wananiuliza mbona sieleweki eti huku mnaniita mkenya basi mimi najibu tu stick kwenye hoja zangu mambo ya utaifa utaamua wewe unavyojiskia
Wewee.. acha unafki, unamtukana mwenzako huku unamsifu. Halafu jamaa hata hajakuelewa unampaka mafuta kwa mgongo wa chupaMitusi katika ubora wake
Km hujaelewa post semaWewee.. acha unafki, unamtukana mwenzako huku unamsifu. Halafu jamaa hata hajakuelewa unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa
Kamuuzie mahindi mungiki upate hela ya kujikimuhayo ni mawazo yako mjomba ila ni najijua mlipa kodi mzuri tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]povuuuu!!!leta mahindi bida tununue angalau na wewe utapata hela za kujikimu...wacha kupiga kelele na kuimba nyimbo za mapambio
π Mungiki anataka kununua ugomvikwahiyo unalazimisha uwe wewe sio!!
Ila leo buda umenifurahisha kuna mtu umempiga vijembe vya mguuni utafikiri anatembea gizani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]povuuuu!!!leta mahindi bida tununue angalau na wewe utapata hela za kujikimu...wacha kupiga kelele na kuimba nyimbo za mapambio
Kwahio address yako ikionesha uko Tz huwezi kuwa mkenya? Mpo wengi Tz tena mnaongea Kiswahili kilichonyooka.Unajisumbua kudhani mimi ni mkenya pole ni vile ujinga wa kukataa ukweli as if Tzn mambo ni matamu saaana mabaya yako kenya tu,sasa huo ujinga mimi niliwaachia kama unadhani mm niko upande gani search nyuzi zangu utajua au check adress zangu humu ila sitoacha kusifia kwenye ukweli na kuponda kwenye undezi,mimi sina uzalendo wa kipuuzi kama wako na timu yako
Sasa kama hujasoma nje wewe ni mjinga, sio maneno yangu chief:
View attachment 1130518
wee tanzajingans mwaona cities vile za faa kuwa ...hapana zile nyumba tatu huwa mwashinda mkitu postia hapa
Huwez kupost picha ya nairobi bila filter hata siku moja πππππ