Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kumbe wewe ni demu[emoji3][emoji3].

si ungesema toka mwanzo mapema tungejua namna ya kukusaidia.
akili za zwazwa[emoji16][emoji16] wapi nimeandika mimi ni demu

anyway umeshindwa kujisaidia kimawazo mimi utanisaidia nini sasa badilikeni acheni mambo ya kike unaweza ukajikuta taratiibu unaanza kuwa choko ukiviendekeza hivi vijitabia vya kujisifia uongo na kuwa na wivu wa kike

mwanaume anajiamini na kusema kweli muda wote kama unafikiri kazi ya kuuza mazao ya chakula ni ya kike baki hivyo hivyo sina msaada na watu type yako unakaza kichwa kwa vitu straight nampa ushauri safi mtu unaleta ushoga

endelea wapo wa mombasa humu watakuona ongeza juhudi
 
huna jipya na wewe unaongea mafumbo kwani ni mtihani huu funguka ueleweke
Utajidefine kuwa mtu wa namna gani, mfano "wewe ni mshabiki wa arsenal unamsifia lukaku mbele ya mashabiki wa arsenal na man u n then anatokea mshabiki wa man u anasema arsenal hawana wachezaji wa kueleweka"?
Kama kweli wewe ni mtz basi utakua na akili ya kipekee maana kuna post umeandika kuwa ni bora kuwa maskini kuliko kuwa mjinga halafu kuna jamaa kaandika hii post hapa chini kuwa kama ni mtz na hujasoma nje ni mjinga
Kumbuka baba yako, mama yako, wewe mwenyewe, mkeo wanao na kila ndugu ulienae ni mtz. Je wote wamesoma nje?
Hebu mjibu huyu mtu nikuelewe akili yako iko wapi
 
mimi naanza nawewe lazima nikukate linda.

Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
 
umeandika kwa mihemko sana uzalendo siyo ushabiki ni kuugua kiukweli kweli kwa yale yanayolisibu taifa lako wala siyo kujisifia kwenye hamna mbele ya halaiki ndipo uonekane mzalendo kuna tofauti kubwa sana kati ya uzalendo na ushabiki
 
umeandika kwa mihemko sana uzalendo siyo ushabiki ni kuugua kiukweli kweli kwa yale yanayolisibu taifa lako wala siyo kujisifia kwenye hamna mbele ya halaiki ndipo uonekane mzalendo kuna tofauti kubwa sana kati ya uzalendo na ushabiki
Okay, wewe umesoma nje ya TZ?
 
halafu ni wapi nimeandika nimesoma nje acha kukurupuka mze pitia vizuri post sishabikii upuuzi hata siku nasema kile nachoamini kwamba ni kweli na kushauri inapobidi sasa ukitaka kunilazimisha eti niisifie dar au nairobi ndo niwe mzalendo you are off my way
 
Sasa kama hujasoma nje wewe ni mjinga, sio maneno yangu chief:
 
Kama hujasoma nje wewe ni mjinga + na ndugu zako wote ambao hawaja soma nje, bila kumsahau baba yako, mama yako n.k according to:
 
we kweli zwazwa kwahiyo unajustify statement yangu kwa kutumia ya mtu mwingine we kweli hujisomi
Sina jipya, nimekuonesha tu post ya mkenya just in case hukuisoma vizuri, maana tangu mwanzo nlishahisi kuwa hujawajulia wakenya na nairobi vilevile
 
iyo ni fursa mjomba tafuta ela kawauzie huko chakula upige ela hizi mboyoyo zingine tuachiage kina dada
Halafu kwa gia yako uloingilia inaonesha kabisa wewe ndio wale wanaosneak madini na mazao kwenye borders bila kufuata utaratibu ili kukwepa kodi halafu unakuja kuongea utumbo wa kuhongwa hapa
 
Sina jipya, nimekuonesha tu post ya mkenya just in case hukuisoma vizuri, maana tangu mwanzo nlishahisi kuwa hujawajulia wakenya na nairobi vilevile
mi najua tu wanaEA mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuniaminisha eti kila mtu anawaza hivyo anyway wote humu mnaobishania miji uwe umetoka kenya sijui rwanda tz mjitathmini ipo shida mahali na siyo kwamba nabeza najaribu tu kuweka watu sawa tuwe positive mambo ya kuringishana majengo barabara tunamfaidisha nani? Au ndo mmemkuwa kina Aisha mashauzi vidole juu endeleeni kwanza mnanichosha nimeshaandika mno wakubadilika abadilike wa taarabu waendelee
 
Halafu kwa gia yako uloingilia inaonesha kabisa wewe ndio wale wanaosneak madini na mazao kwenye borders bila kufuata utaratibu ili kukwepa kodi halafu unakuja kuongea utumbo wa kuhongwa hapa
hayo ni mawazo yako mjomba ila ni najijua mlipa kodi mzuri tu
 
Nikiona yule mbinafsi mwenye roho mbaya akishushwa chini ni jambo la faraja sana
 
Unajisumbua kudhani mimi ni mkenya pole ni vile ujinga wa kukataa ukweli as if Tzn mambo ni matamu saaana mabaya yako kenya tu,sasa huo ujinga mimi niliwaachia kama unadhani mm niko upande gani search nyuzi zangu utajua au check adress zangu humu ila sitoacha kusifia kwenye ukweli na kuponda kwenye undezi,mimi sina uzalendo wa kipuuzi kama wako na timu yako
 
unajishtukia mkuu,mimi sijakutaja wewe.

kwani nawewe ni maarufu kiasi hiki humu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…