joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Mbona miradi tuliyokopa tunawaambia na hampingi mnakubali, lakini ile ambayo tunajenga kwa pesa za ndani tukiwaambia mnapinga?. Ukweli ni kwamba mpo na wivu kuona kwamba, miradi ambayo Kenya imeshindwa kujenga kwa pesa yake, Tanzania tunaweza.Ni sawa..labda siku za usoni tender nitapata tu. Ninachosisitizia ni eti mnafadhili kwa pesa za ndani.
There is no shame in borrowing to finance a project..its a shame on the other hand to be fed propaganda and actually believing it.
Lakini kama kweli mnafadhili wenyewe heko kwenu.[emoji122]
Wengi wao ni mafala..Mbona miradi tuliyokopa tunawaambia na hampingi mnakubali, lakini ile ambayo tunajenga kwa pesa za ndani tukiwaambia mnapinga?. Ukweli ni kwamba mpo na wivu kuona kwamba, miradi ambayo Kenya imeshindwa kujenga kwa pesa yake, Tanzania tunaweza.
Kitendo cha Kenya kushindwa kumalizia reli hadi Kisumu baada ya China kukataa kutoa pesa, kinawafanya muwe na wivu zaidi na Tanzania inayoendelea ujenzi kwa pesa yake.
Kama ni propaganda, vipi mbunge wa upinzani aweze kukiri kwamba kila mwaka serikali inatenga pesa kwa ajili wa hiyo miradi?,
suburban living. Safi sana.Watz wanaishi wap aliuliza jamaa mmoja kutoka 254 View attachment 1128875
Hyo kwanza ndio anauwa uchumi kabisa...Unajua komora sijajua rika lako lina range wapi BT mimi ka mtz najua tulipotoka na aina ya uongozi tuliokua nao... Tz ni nchi yangu na naishi tz so najua uwezo wa nchi yangu kama tungeamua kuwa serious toka zamani...
Napata nguvu ya kupaza sauti na kuona mwanga maana atleast tumepata mtu anajali Mali za nchi hii na kajitoa kwa dhati, hilo kwetu ni ushindi tayari.. Haijalishi tutatumia muda gani kufika tutakako Ila tunashukuru Mzee anainstall system ambayo hata nyie jirani mtaanza kuona faida ya Mali mlizokua mnatucheka tuliposhindwa zitumia kwa busara.
We're in the right track...
Nitajie hapo katika hyo list kipi hakipo kenya..na je kinafanya kazi kw mda gani...bwahahaaa...1) SGR, Dar to Dodoma $3.9B
2) Ununuzi wa ndege 8 za ATCL $1.02B
3) Rufiji hydroelectricity $2.9B
Hahahahaha, Hahahahaha, hahahahaha.
Omba omba na wachuuzi wa mitumba ukumbuke pia wanaishi hko hko kibera...bwahahaa...usiahau wanubi na waganda pia...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Taja mradi mmoja ambao, uliofanywa na GDP yenu wenye thamani ya $1B. Hahahahaha, endeleeni kuimba GDP, pesa yote mnagawana mishahara, na inayobaki inaishia katika mifuko ya wakikuyu, makabila mengine yanaishia Kibera.
Sawa hata huo ni mtazamo piaHyo kwanza ndio anauwa uchumi kabisa...
Si mtazamo...ndio ukwel...km jamaa anakopa kisha hataki kukiri, anawabambikizia mikodi ambayo hata haina tija latika karne hii...mi sijaona nchi eti kuna baadhi ya biashara zinafungwa kisa kodi...Sawa hata huo ni mtazamo pia
Sipo hapa kubishana au kukufanya uwaze ninavyowaza kama kwako huo umeona ni ukweli basi sawa ni mtazamo wako kila mtu yupo free kuwaza atakavyo ankoSi mtazamo...ndio ukwel...km jamaa anakopa kisha hataki kukiri, anawabambikizia mikodi ambayo hata haina tija latika karne hii...mi sijaona nchi eti kuna baadhi ya biashara zinafungwa kisa kodi...
We basi unamtazamo gani...nyote mnaongea kitu kimoja...uanfikiria maneno yenu hatuyajui...kwn nani aliyeanza kusema pesa za ndani...si ni mkulu, we ni fuata upepo tu...mi hakuna siku nitamuamini rais kw asili mia moja...Sipo hapa kubishana au kukufanya uwaze ninavyowaza kama kwako huo umeona ni ukweli basi sawa ni mtazamo wako kila mtu yupo free kuwaza atakavyo anko
Na mi nataka kukujuza ya kwamba...hayo sio maendeleo..bali ni kutaka kufanya vitu kw misifa ili kumuonyesha aliye juu km na wewe una uwezo...
Mtaka yote
Ni sawa..labda siku za usoni tender nitapata tu. Ninachosisitizia ni eti mnafadhili kwa pesa za ndani.
There is no shame in borrowing to finance a project..its a shame on the other hand to be fed propaganda and actually believing it.
Lakini kama kweli mnafadhili wenyewe heko kwenu.👏
Too late wanaona aibu kuonekana wamewashindwa al shababWakenya ondoeni majeshi somalia