Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 59,316
- 79,766
SGR, SGD, Hii miradi Ni babkubwa balaa,majirani zetu wanabeza budget ndogo lakin inafanya maajabu ambayo hata Nigeria hawafanyi
Haha mradi ukiisha probably tutakua na zaidi ya 4000MW nadhan kinyerez miradi yao ni non-stop
SGR Line From Dar Es Salaam to Morogoro Project - May '19
Nyang'au wanajitia kukakamaa tuu ila kiukweli wanakubali kuwa kasi hii hawaiwezi.wasiyemtaka anazidi kusogea.
+Dodoma city projectsNyang'au wanajitia kukakamaa tuu ila kiukweli wanakubali kuwa kasi hii hawaiwezi.
- SGR
- Rufiji dam
- MGR
- ndege
- terminal 3
- daraja la cocobeach
- flyover
- barabara
- BRT
- Meli
- bandari
Hizi zote zinafanyika kwa wakati mmoja.
Ukijumlisha kiasi cha pesa kilichotumika, aisee kinatisha.+Dodoma city projects
Tz huu mwendo usipopungua mama angu miaka kumi hii majirani wataanza kuhamia hapa nyie subirin hahaahhaaUkijumlisha kiasi cha pesa kilichotumika, aisee kinatisha.
Acha wabaki kwao hatutak wakora hukuTz huu mwendo usipopungua mama angu miaka kumi hii majirani wataanza kuhamia hapa nyie subirin hahaahhaa
Bajeti za sifa ili waonekane wana uchumi mkubwa barani Africa, lakini tuta wakimbiza na bajeti yao hio fekiSGR, SGD, Hii miradi Ni babkubwa balaa,majirani zetu wanabeza budget ndogo lakin inafanya maajabu ambayo hata Nigeria hawafanyi