Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni Mkenya. Nilishasema muda mrefu utatoa povu mpaka ukome.
Kwanza injinia gani huyu hajui hata kuandika!!?
Unaandika kama bata, halafu unajifanya injinia.
Maandishi hayana nukta hata koma. Yaani umeandika maelezo marefu kama sentensi moja.
Usijifanye designer wakati siyo. Jengo gani una design hebu lilete hapa tukione. Linaitwaje?
Nimekueleza toa ushamba wako hapa tutakutoa povu mpaka utakimbia. Namna ulivyoandika tu; ni proof tosha kiwango chako cha uelewa ni finyu mno, kama mtoto mdogo. Rudi shule ndio ulete maelezo humu. Halafu usijipe title ambayo huna. Hizo ni sifa za wajinga wenzako huko Kenya.
Hivi unazijua slums za Nairobi wewe au unaimba nyimbo tu. Ngoja nikuwekee hapa list:-
Dar hakuna uharo kama huo.
 
hapo ndipo unaponihaivisha ndugu yangu.......eti dar haina masterplan ......nakuheshimu kwani ningekutukana aisee ....mimi nachoomba utoe fact na ulete source ya taifa ambayo inasema dar haina masterplan dah....we jamaa unazingua na kingine ni hivi hebu rudi kwenye mantiki ya hii thread anza na tittle kisha usome tulipoanzia na tulipoishia bado haujielewi....wew siyo mbongo.....ni mkenya hivyo hapa tutatukanana tu...bora upite tu ....ama uje na fact apa zenye uthibitisho
 
huyu jamaa anatuzingua mara mbongo mara mkenya sijui mama yake mpare baba yake mkenya mara msanifu wa majengo....yaan haeleweki na anachonifurahisha eti dar haina master plan....huu si upumbavu
 
huyu jamaa anatuzingua mara mbongo mara mkenya sijui mama yake mpare baba yake mkenya mara msanifu wa majengo....yaan haeleweki na anachonifurahisha eti dar haina master plan....huu si upumbavu
Ukimuuliza wapare wanaishi wapi anasema wanaishi Ujiji, wilaya ya Songea, mkoa wa Arusha.
Anazingua sana.
 
Sipo kwenye usahili au silipwi kwa kuandika...just namaliza bando...then sipo kubishana na ww au yeyote....unatoka kwa mada unaandika nonesence....pia tofautisha msanifu majengo na mhandisi,though all we learn engineering bt uwez muita architect kua ni engineer....then ur perception na zako na zangu are differ...unataka niandike km nipo darasani...ndo mana waishia kutukana bse ur mentality is poor....sipo kuprove your IQ bt is poor
 
Khaligraph Jones....attended his show last Sunday in westie....this guy is killing it a real rapper from kayole
 
Hapo kwenye "Red" Tayari umejweka wazi wewe ni nani. Tangu mwanzo nimekueleza wewe ni mkenya, unapayuka tu. Nimekueleza utatoka povu mpaka uimbe wimbo wenu wa taifa.
Hujaleta fact yoyote hapa. Unakuja kuongea maneno mengi kama vile umemeza CD.
1. Leta facts za hayo unayoyasema.
2. Unakaa kimara! Kimara ipi unakaa?
3. Unazijua slums za Nairobi?
4. Je, umesoma document niliyokupatia?
5. Mama yako mpare wa wapi?
Kama huna majibu ya hayo niliyokuuliza basi kichwani utakuwa na upungufu wa ubongo.
 
Ukimuuliza wapare wanaishi wapi anazema wanaishi Ujiji, wilaya ya Songea, mkoa wa Arusha.
Anazingua sana.
ha haaaaa mpuuzi.....sana aiseee[emoji31] [emoji31] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji15] [emoji15]
 
ha haa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ati anakwambia anatoka kwa mada .....thiz iz devil iko kwa mtungi aisee hii chalii yajiita yakipare yapasa apewe knowledge ni matope sana akili zake
 
Asante sana sipo kubishana na ww au yeyote sio kuishi nimekulia huko...hembu ww lete hizo fact dar ya nane...tatizo watanzania mnajua kubishana kishabiki...tusaidie hizo source za 2016/2017
Aaahhhh kumbe uliishi uku
Ok
That meaning ulikuwa uku miaka ya zamani
Ok
Njoo tena ujionee ilivyobadirika
Umekaa nairobi ukijua dar hawafanyi marekebisho


Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Dar hii sio chafu kama ile ulioiacha
Kuwa na akili kidogo

Jiulize barabara za mwendokasi wamejengaje kama kulikuwa hamna masterplan

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Ashakwambia alikuwa anakaa uku
So hayupo uku
Kwann ubishane nae sasa
Istoshe alikuwa anakaa manzese au tandare

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…