Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hili jambo lilikua wazi sana kwa mwenye akili. Sasa hivi Uganda haina sababu ya kukopa pesa za kujenga SGR, bora wanunue meli zinazoingiza mabehewa ya SGR ya mizigo ili wafikishe Mwanza.
BTW hii reli inafika Mwanza! Nimeskia kuna mkopo wa WB about to be issued for the remaining sections! Mganda amewadindia!
 
Umeaona nikimention umasikini in my posts? Nilichosema ni kuwa tumewekeza katika miundombinu na mafuriko kwetu hutayaona.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ na mombasa pia

Kuna mradi wa kuboresha bonde la mto msimbazi pamoja na kuboresha hapo jangwani pesa kutoka WB tshs 200B kwahyo ilo tatizo likokatika kutatuliwa...
 
Umeaona nikimention umasikini in my posts? Nilichosema ni kuwa tumewekeza katika miundombinu na mafuriko kwetu hutayaona.
na hayo niliyoyaona ni ya wapi? sio nairobi hiyo hadi plates za gari zinaonysha kuwa hapo ni kenya. mmejiweza kivipi? leta hata proposal ya kuimprove drainage system ya nairobi tuone maana sisi ya msimbazi valley naweza kukupa PDF file hata sasa hivi kama ukitaka.
 
Kuna mradi wa kuboresha bonde la mto msimbazi pamoja na kuboresha hapo jangwani pesa kutoka WB tshs 200B kwahyo ilo tatizo likokatika kutatuliwa...
Haliwezi kutatuliwa chini ya uongozi wa Yule sharobaro yeye kazi kuu yuaifanya ni kutafuta Kiki tu, Dar yahitaji kiongozi sio yule mzee.
 
Miaka minne iliopita ,we vipi? Mbona huelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…