Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so you mean kutokopa diyo maendeleo kwa nchi yenu??
Hakuna aliesema sio maendeleo ila huwez kukopa alaf ukafikia hatua ya 64% debt to GDP ratio alaf ukajiita unaendelea

Kila sector kenya imekufa hakuna hata sector moja inafanya vzr kenya
 
Hakuna aliesema sio maendeleo ila huwez kukopa alaf ukafikia hatua ya 64% debt to GDP ratio alaf ukajiita unaendelea

Kila sector kenya imekufa hakuna hata sector moja inafanya vzr kenya
Aaah wap sector ya ufisadi bado wanafanya vizuri hawa jamaa wakijichanganya wakampa Ruto uraisi nadhani ndio utakuwa mwisho wa taifa la Kenya
 
kijitonyama,slums at the behind which are never shown,no tarmac roads,,this is just a village
1093992

1093997

1093999
 
Hakuna aliesema sio maendeleo ila huwez kukopa alaf ukafikia hatua ya 64% debt to GDP ratio alaf ukajiita unaendelea

Kila sector kenya imekufa hakuna hata sector moja inafanya vzr kenya
Le mi ask you, unadhani sasa ju imefika 64%hatutaweza kulipa,or you think kenya is bankrupt??
 
Kuficha ujinga ni kazi saana naona hiyo kenge hapo juu inalazimisha DAR kuwa na slum aise
NKT,msiwahi leta hii kijiji hapa tena, inaudhi kuona mkipingana na Nairobi mji mkuu East and central Africa na huu uchafu,kwanza jengeni barabara na hizo takataka mnazoziita nyumba binafsi
1094011
 
Back
Top Bottom