Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jumla ya ndege ni mbili mzee si tatu! Soma vizuri kaka!
 

Thank you bastard, kwa ku soma habari zetu ju hauna shugili zingine,
Sasa your PM want kenyans to invest in TZ and this is what he quote




So Stick to your lane,,,
 
Kuekeza lazma muje kuekeza kwasababu investor anaekeza sehemu yenye pesa na by the way munatupa faida nyingi sana kwanza ajira kwa vijana na munalipa kodi za serekali na pia mukipangisha ofisi munalipa hiyo ndio raha yenyewe😆😆😆😆👏👏👏
 

watakao ongoza hizo viwanda ni kina nani kama si sisi, uko na umama,,
 
we si mjinga tu, kwani kuhold talks kuhusu investment tatizo ni nini? nchi ngapi zimeinvest kenya? au unaongeaongea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…