James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,199
- 15,555
.
Hahah the more things change the more they remain the same. Hii thread ni sawia na kitendo cha masturbation.. Wacha watanzagiza wazidi kunyonga monkey. Hawawezi saidika hawa maskini wa Mungu![]()









.Anafunga magoli juu ya kiuno tu😂😂😂Yule kijana wao wa kukula nyama anafunga magoli gani![]()
Anafunga magoli juu ya kiuno tu![]()
Hawa jamaa hawana hoja, linalotoka mdomoni mwao kama halijapingwa hata kama wanajua halina mantiki watalishupalia hilohilo.Since when showing progress of our city is hatin', we do us, do you... ma nigga!
Hii itaisha bado Nairobi wakioneshana michoroDart awamu ya pili kuanza mwezi june
Hivi wanajamvi niulize kwani sgr ya kwenda bandarini dar itapita wapi maana sioni mwelekeo wake
Loan of the white elephant😆😆👇👇👇
Hata mm najiukizaga sanaaHivi wanajamvi niulize kwani sgr ya kwenda bandarini dar itapita wapi maana sioni mwelekeo wake
Kuna kituo kimoja cha daladala kinaitwa Darajani kipo baada ya mataa ya Chang`ombe km unaenda town sasa chini ya Daraja lile kuna reli inaelekea bandarini inapitaga nyuma ya Mkuki houseHivi wanajamvi niulize kwani sgr ya kwenda bandarini dar itapita wapi maana sioni mwelekeo wake
Sgr haifiki babdarini mizigo yote itabebwa na treni ya zamani mpaka icd ruvu hapo ndipo sgr ya mzigo itaanza safari zake ile ya abiria itaanzia postaHivi wanajamvi niulize kwani sgr ya kwenda bandarini dar itapita wapi maana sioni mwelekeo wake