Sure, ujinga na uzumbukuku wa mkenya ni pale anapoforce kuwa Tz kuna njaa na ilhali hakuna sehemu hata moja wanaokufa kwa njaa na zaidi ni kuwa tunasaidia na majirani zetu, task kubwa tunayoikamilisha now nikuongeza vituo vya afya na madawa.
Jamani wakenya muipate hii: Hakuna mtanzania anaekufa kwa njaa, dawa zenyewe hawakosi sembuse chakula?
hapo mapicha yamejichanganya sasa kwa akili yako hapo kati ya hizo ni nyumba gani inayouzwa...?..[emoji3][emoji3] wacha kujihaibisha hata ukigoogle mara nyingi picha za dar unazikuta nairobi wakati mazingira halisi ni daraliyeandika "house for sale in tabata" si ni mkaazi wa Dar? Sio mimi nilipost, ni mtanzania mwenzako. Endeleeni Kukana Jiji lenu. Tushawazoea hata
Nashangaa mzungu wa africa huwezi elewa english dar is fishing village historically,sometimes london is described as a fishing village tooππππ€£π€£πππππ
View attachment 1073962
masters of denial. even your own government is denying data on anything affecting the common Tanzanian. About the picture, that's a screenshot you dunderhead. The focus is one the main bigger picture on that screenshot. Mona mambo rahisi mnashindwa kuelewa?hapo mapicha yamejichanganya sasa kwa akili yako hapo kati ya hizo ni nyumba gani inayouzwa...?..[emoji3][emoji3] wacha kujihaibisha hata ukigoogle mara nyingi picha za dar unazikuta nairobi wakati mazingira halisi ni dar
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Wewe mtanzania uniambie sielewi Kiingereza? Tangu lini?Nashangaa mzungu wa africa huwezi elewa english dar is fishing village historically,sometimes london is described as a fishing village too
We always teach you,
Wewe labda tu unifundishe jinsi ya kuandaa mchuzi wa albinoNashangaa mzungu wa africa huwezi elewa english dar is fishing village historically,sometimes london is described as a fishing village too
We always teach you,
Hapana njia nne n kutoka pale tengeru mpaka usa river inaenda kuunganishwa na arusha by pass kama km 8.4Iyo barabara kutoka tengeru hadi holili njia nne...ikifika pale njia panda ya kwenda KIA Inaenda hadi uwanjani....manake kutoka Arusha-Moshi-Holili itakua njia nne...highway moja ndefu sana ni zaidi ya 100km hapo....
Sent using Jamii Forums mobile app
Huelewi!unaweza ukawa unajua kutafsiri fishing village,lakini usielewe maana yakeSasa Wewe mtanzania uniambie sielewi Kiingereza? Tangu lini?
Unaona jinsi ulivyo kilazaWewe labda tu unifundishe jinsi ya kuandaa mchuzi wa albino
KabisaHuelewi!unaweza ukawa unajua kutafsiri fishing village,lakini usielewe maana yake
Nimegundua wakenya ni vilaza kuliko watu wote afrika mashariki
Tena Tanzania hiyo less than 30% hawaishi chini ya poverty line bali under 2 USD sasa hiyo pesa ukiileta bongo ni zaidi ya 5000 ambapo wengi wao wapo vijijini kilo ya unga ni chini ya buku 1000 anabaki na buku 4000 aamue akanunue nyama au kuku amalize sikuSure, ujinga na uzumbukuku wa mkenya ni pale anapoforce kuwa Tz kuna njaa na ilhali hakuna sehemu hata moja wanaokufa kwa njaa na zaidi ni kuwa tunasaidia na majirani zetu, task kubwa tunayoikamilisha now nikuongeza vituo vya afya na madawa.
Jamani wakenya muipate hii: Hakuna mtanzania anaekufa kwa njaa, dawa zenyewe hawakosi sembuse chakula?
Arusha bypass ni zaidi ya kilometres 42Hapana njia nne n kutoka pale tengeru mpaka usa river inaenda kuunganishwa na arusha by pass kama km 8.4
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemaanisha io upanuzi kutoka tengeru mpaka usa n 8.1 ivi ila by passya arusha sio 14 n 42 km io ya 14 nikuanzia pale sakina mpaka tengeruArusha bypass ni zaidi ya kilometres 14
Yeah hiyo dual carriage way, phase ll itatoka tengeru mpaka KIA.Nimemaanisha io upanuzi kutoka tengeru mpaka usa n 8.1 ivi ila by passya arusha sio 14 n 42 km io ya 14 nikuanzia pale sakina mpaka tengeru
Sent using Jamii Forums mobile app
hauelewi kitu ila hizi takataka,daah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kwa kweli hatufanani tupo tofauti too much shit ni watu mlio nyuma sana ila mnajikingia kifua kwa kujifariji,,,,yaani hayo maeneo hata chizi wa bongo hawezi randaranda ,,na hata maiti ikifia hapo endapo akiwa ni mtazania lazima maiti itajiamisha kimiujiza kitafuta best placemasters of denial. even your own government is denying data on anything affecting the common Tanzanian. About the picture, that's a screenshot you dunderhead. The focus is one the main bigger picture on that screenshot. Mona mambo rahisi mnashindwa kuelewa?
Usishangae ndugu yangu...eti kani quote na kunishow hao mabata wapo wengi hadi hawaez chukuliwa katika picha moja....nilishangaa sana kwenda google...mpka mwengine kaandika house for sale in vibata...Being selective in your posts won't save your sorry state if afairs Mr tabata.
Tabata ππππ€£π€£
View attachment 1073934View attachment 1073935View attachment 1073936
And by the way why did you just decide to focus on Tabata alone while I mentioned many other estates in my post? What about Buguruni, Chang'ombe, Sinza,Gongo la Mboto, Mwananyamala, Vingunguti, Ilala, Mabibo, Temeke, Tandika? Ama hizo sio mitaa za Dar?