Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

endelea kujifariji kwa kuokota okota picha zisizo za dar ,hapo kuna baadhi ya picha ndiyo hizo nyingine warudishie wenye nazo....

ila ukweli ni huu hapa kuna tofauti kubwa sana ya kimazingira yakimaisha kati ya maskini wa kenya na maskini wakitanzania ,maskini wa kenya ni choka sanaa na mnaishi kwenye hali yakusikitisha sana maana imekuwa si umaskini imekuwa ni umaskini tena wenye uchafu kupindukia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

nisikufiche haya siyo maisha aisee
mnasikitisha
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Jumbo hats nyinyi mnachukua loan!!!?? Nilidhani miradi zenu zote zinahifadhiwa na peas za Nani. Kulikoni tena??
 
Jumbo hats nyinyi mnachukua loan!!!?? Nilidhani miradi zenu zote zinahifadhiwa na peas za Nani. Kulikoni tena??
Hio ni loan hebu soma vzr maelezo punguza nyege ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† hio ni pesa zao wametoa wenyewe kujenga na sio loan fala ww๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bro..muelewe..huaga hyo hana akili...hv nikuulize..unajua hta mtaa mmoja wa middle class dar unisaidie na mi niucheki katika google earth nijichekee
watoe wapi? Even their so called posh neighbourhoods can't match Nairobi's creme de la creme
 
he said many "middle income countries". Not many LDC countries. get the difference and stick to your lane
Hamuna hadhi ya kua MLDC ndio maana dunia inashangaa kuona MLDC maji hakuna mji mkuuu๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Hiyo ya Kukana picha za Dar tushawazoea
hakuna anayekana bali tumekwambia kuwa picha nyingine unaokota okota.....kwenye picha zako zote ulizopost picha za Dar ni hizi pekee
tena chini kuna mitaa mizuri tu usije linganisha na ile mitaa yenu machokoraa

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
afadhali ni kodi nyumba badala ya kujaza u had ur Kama hizi ndani ya Nairobi
Personally Niki Nairobi kikazi so I am not under any pressure go build a house here coz I can get a transfer anytime. As I am writing this najenga nyumba yangu upcountry and it looks way way better than those things am seeing above. And even if u were to build a house in Nairobi, it can't be such a simple house in such a disorganized environment. And by the way, there are so many people owning houses in Nairobi. My own brother has a very beautiful house in Syokimau in a very organized estate.
 
Kwa hiyo hii ni sawa na Ma Kibera na Mathare!! Hizo ni high density area, hapo nyumba zote zina sewage system, maji, umeme na zinafikika kwa gari. Ukweli Nairobi kwa slums za kutisha mnatuzidi by far.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kukubali kwamba nyingi za hizo picha ni zar Mitaa za dar (japo najua zote ni za dar). Kuna mwenzako hapo alizikana zote. Hiyo kando, nini cha kufurahisha sana kwa hizo numbs mshinde mkitujajia vile mmejenga numbs dar? All I can see are very simple houses with corrugated iron sheets in very disorganised estates. No planning at all. Utasema niko na uzalendo ila ukweli ni kwamba huwezi pata nyumba kama hizo Nairobi nje ya slums. Ni ukweli pia kwamba nyingi za nyumba za dar zinafanana hivyo. Ni vigumu sana kupata nyumba Kama Hizo Donholm, Umoja, Embakasi, Kayole, Imara Daima, Pipeline, Kasarani, Kahawa, Komarock, na mitaa mengine Kama hayo. Those are low middle income estates
 
M
Kwa hiyo hii ni sawa na Ma Kibera na Mathare!! Hizo ni high density area, hapo nyumba zote zina sewage system, maji, umeme na zinafikika kwa gari. Ukweli Nairobi kwa slums za kutisha mnatuzidi by far.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mnapambanisha Mitaa zenu na kibera? Kila tunapoleta pics za Mitaa za dar mnajibu kwa kuleta pics za Kibera. Does it mean kibera is the only thing inaweza pambanishwa na mitaa zenu. Kwa kikufupi, yani dar nzima no slums tu ndo maana Lila tunapocompare anything Lazima kibera itajwe. Basi tuseme kwamba dar na kibera zinafanana
 
jibu swali Kaka, wacha kuweweseka. Hiro ports zebu zilihandle how many metric tonnes of cargo last year tufanye comparison
 
Nipe ushahidi kua hapo ni dar๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†kama huna endelea kuokota picha za google
 
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† mwache ajipe matumaini huu mchezo alikua nao wanjala siku moja akaumbuka alipost slum za nigeria alasema dar akaumbuliwq hakurudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ