ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Anakimbia kiaina hahahhahah😀😀😀😀😀😀mimi sio wa vijiweni, I actually have a day job..... with a salary waay past six figures ichoboy01, kwako hiyo ni ndoto! hadi ukasome kwanza!
we imba tu mabomu haya mambo mengine usiyaingilie...ntakuaibisha tena! Ohooo!!
Lakini wapi bomu liko pale pale sio mchna sio usiku hilo mpala ufe nalo😛😛😛😛
Wanjala Mungu anakuona wewe ona unavompa shida mwenzio😛😛😛🙂🙂🙂🙂
Maskini anakufa huku anajiona😀😀😀
Pumzika kaka hahahahhahahaha