ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Hio ni fire wanaitambua pia wenzetu😀😀hatari sana hiyo kitu jombaa
Hio ni fire wanaitambua pia wenzetu😀😀hatari sana hiyo kitu jombaa
kwako mi kilaza plus hehehe nimeipenda iyo hehe!!!!!Anazuga hahahhaahah Bomu halikuachi lina wewe mwanzo mwisho ulijua Bomu limekusahau 😀😀😀😀😀😀😀😀
Wakenya okoeni jahazi kilaza plus Bomu linamuua ......wapi wanjala wewe 🙂🙂😛😛😛😛
Ukweli wa swali haligeuki kulia wala kushoto🙂🙂
Ukijibu swali sio kilaza plus 😎😎😎
Lakini ukikaa kimya bomu unalo kama ukiskia kilaza kaingia choo basi ujue choo cha kike
Bomuuuuuuuuuuuuuuuu kalikombatia, wanjala kamuuza mwenzie 😀😀😀😀
Wanjala Mungu anakuona wewe umemchuza mwenzio 😀😀😀😀😀
Kadaka timing bomb uhahhauhahah
View attachment 504216
could you please enlighten us on which year this project was started and how many units have you built so far? and how many have been done by subsequent govt since inception.Once regarded the Africa's Largest slum since 1950, Kibera is now emerging as a new luxurious residential hub in Africa, Things Change in Kenya
View attachment 504445
Bila aibu karudi 😀😀😀🙂🙂kwako mi kilaza plus hehehe nimeipenda iyo hehe!!!!!
alafu inaitwa time bomb sio timing bomb!!!! unaona madhara ya kutokweda shule?????? we imba tu mabom ila jipange mwakani ukajiandikishe QT. sio unakaa tu vijiweni unasumbua watu na kisim chako cha kichina na bando za jero!! hehehe
Kwani hili jengo huwa halisongi?? Kwa mwendo huu Avic itamalizwa mbele yake, all these years??
Babkubwa...bata batani ndani ya bongoPleasure never ends in bongo
Everyday is a happy dayView attachment 504607
View attachment 504609 View attachment 504610 View attachment 504611 View attachment 504607
Usizuge kwanza bomu lipo au lishabutuka😀😀😀😀😀😀😀😀could you please enlighten us on which year this project was started and how many units have you built so far? and how many have been done by subsequent govt since inception.
Shida ya bongo moja tu, mpangilio, hujui wapi slum hujui wapi beach, hujui wapi ni CBD yote yanaandamanaPleasure never ends in bongo
Everyday is a happy dayView attachment 504607
View attachment 504609 View attachment 504610 View attachment 504611 View attachment 504607
Sijapata updated pics zijapita siku nyingi sana huko siunajua dar kubwa sana😀😀😀😀😀😀Kwani hili jengo huwa halisongi?? Kwa mwendo huu Avic itamalizwa mbele yake, all these years??
Hio sehemu ya bata we kilaza🙂🙂🙂🙂🙂Shida ya bongo moja tu, mpangilio, hujui wapi slum hujui wapi beach, hujui wapi ni CBD yote yanaandamana
Ona hapa, beach hotel huku, slum pale
![]()
kutokujua kingereza sio ishara ya mtu kutokwenda shule.acha kuwa na fikra potofu.kwako mi kilaza plus hehehe nimeipenda iyo hehe!!!!!
alafu inaitwa time bomb sio timing bomb!!!! unaona madhara ya kutokweda shule?????? we imba tu mabom ila jipange mwakani ukajiandikishe QT. sio unakaa tu vijiweni unasumbua watu na kisim chako cha kichina na bando za jero!! hehehe
Vipi kule mnaita Ramada? Huku laitwa Hotel La mada NairobiHaliwezi kufkia hilo😀😀😀😀
Ni tofaut kabisa yakwetu na yenuVipi kule mnaita Ramada? Huku laitwa Hotel La mada Nairobi
mimi sio wa vijiweni, I actually have a day job..... with a salary waay past six figures ichoboy01, kwako hiyo ni ndoto! hadi ukasome kwanza!Bila aibu karudi 😀😀😀🙂🙂
Mr kilaza plus 😛😛😛 anaona aibu kukubali kushindwa ameona kama kua na liwe 🙄🙄
Wanjala mwenye Bomu mm naona uchukue Bomu lako mwenyewe maana ndugu yako umauti umemkuta 😀😀😀😀😀😀
Bomuuuuuuuu saidieni mkenya mwenzenu
😛😛😛😛😛😛😛😛
Bomu linamtesa usiku na mchana nilimwambia mm halitakuacha hilo madamu umelikombatia😛😛😛😛😛View attachment 504636
Usione kachanganyikiwa huyo bomu linampeleka puta hana raha usiku wala mchana wanjala alimchuza mwenzie kamuuza kwa bei cheee😀😀😀😀😀😀😀kutokujua kingereza sio ishara ya mtu kutokwenda shule.acha kuwa na fikra potofu.
watu wa nchi ya malawi japo ni masikini wa kutupwa na wengi wao hawana shahada za vyuo vikuu,lakini wanazungumza kingereza fasaha kuzidi hata wakenya.