Acha za ovyo bana, unamkejeli mwenzako ama?Hatari sana....![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hilo Ramada lina mwenzake hapa Nairobi
huwezi kuelewa kiswahili ya tz...hatari is like saying epic,amazing, astonishing,awesome.Acha za ovyo bana, unamkejeli mwenzako ama?
Haliwezi kufkia hilo😀😀😀😀Hilo Ramada lina mwenzake hapa Nairobi
hatari sana hiyo kitu jombaa