Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Utazunguuka koteee maneno mengi lakini Bomu no 1 liko pale pale halibanduki😀😀😀😀😀
Lunasubiri kuona wewe kilaza plus au sio
Ukilijibu wewe sio kilaza 😛😛 usipolijibu ujue kilaza plus 😀😀😀
Chagua sasa kusuka au kunyoa hhahhhahahahah
😀😀😀😀😀😀
Wakenya jitokezeni kumuokoa mwenzenu anakufa huku anajiona  🙂🙂🙂🙂🙂
Alidhani kadaka mpira kumbe bomu🙄🙄View attachment 504210
Wewe imba tu wimbo wako, upo sahihi kabisa hata mimi ningekua kwenye nafasi yako ningekamata Wimbo nikaimba haswa! Lakini haitoondoa ukweli ambao upo wazi!
Mwisho wa siku Shule baba, Shule.... ukimaliza kuimba mabomu tafuta shule, unaona umuhimu was Shule saivi? Hadi unafikia kufoji.... umeona umuhimu wake.
 
Anazuga hahahhaahah Bomu halikuachi lina wewe mwanzo mwisho ulijua Bomu limekusahau 😀😀😀😀😀😀😀😀
Wakenya okoeni jahazi kilaza plus Bomu linamuua ......wapi wanjala wewe 🙂🙂😛😛😛😛
Ukweli wa swali haligeuki kulia wala kushoto🙂🙂
Ukijibu swali sio kilaza plus 😎😎😎
Lakini ukikaa kimya bomu unalo kama ukiskia kilaza kaingia choo basi ujue choo cha kike
Bomuuuuuuuuuuuuuuuu kalikombatia, wanjala kamuuza mwenzie 😀😀😀😀
Wanjala Mungu anakuona wewe umemchuza mwenzio 😀😀😀😀😀
Kadaka timing bomb uhahhauhahah
d99d861a36d32a35603166b4522ccba5.jpg
 
Back
Top Bottom