Walikuja hapa wakasema access to electricity kwao ni kubwa sasa sioni faida yakeπππlile suala la power interruption(mgao wa umeme) ndani ya kenya, linaendelea tena leo tarehe 8.
halafu utawakuta kwenye social media na vingereza vingi wakijidai ati wao ni watu wa uchumi wa kati.
eneo kukosa umeme kuanzia 9am-5pm ni hasara kubwa sana katika shuguli za kiuchumi.
View attachment 1065898View attachment 1065900View attachment 1065901View attachment 1065902
Do you know the difference between power interruption and power rationing? Why do you talk about mgao wa umeme (power rationing) when its crystal clear you don't even know what you are talking about? Wabongo mko na shida kweli. That's a normal interruption of a service maybe because of a scheduled maintenance or something close to that. Mtaumwa sana na vichwa sababu ya Kenya lakini number mtasoma milelelile suala la power interruption(mgao wa umeme) ndani ya kenya, linaendelea tena leo tarehe 8.
halafu utawakuta kwenye social media na vingereza vingi wakijidai ati wao ni watu wa uchumi wa kati.
eneo kukosa umeme kuanzia 9am-5pm ni hasara kubwa sana katika shuguli za kiuchumi.
View attachment 1065898View attachment 1065900View attachment 1065901View attachment 1065902
Endelea kuumia kakaWalikuja hapa wakasema access to electricity kwao ni kubwa sasa sioni faida yakeπππ
Ujumbe kwa wakenyaπππππ
View attachment 1065960
Ugua poleNa good morning juu
Niamnini Kenyan media outlets, statistics alitoa nani? google? peleka propaganda zenu, this is a night East Africa map as seen from the ISS nambie sasa hiyo access vizuri, nairoberry na mombasa tu ndo mna umeme na umeme wenyewe wa kusuasua
As usual you always live in denial. Hiyo ni moja ya sababu ambazo hadi wa leo bado mko katika lile kundi la LDC. Taarifa hiyo imetoka World Bank so unaweza wauliza hilo swaliNiamnini Kenyan media outlets, statistics alitoa nani? google? peleka propaganda zenu, this is a night East Africa map as seen from the ISS nambie sasa hiyo access vizuri, nairoberry na mombasa tu ndo mna umeme na umeme wenyewe wa kusuasua
View attachment 1065996
Hamna binadamu mzembe kama wewe yaani sijawahi kuona, bora hata ungetoa link tusome, ukagoogle tu na kuscreenshot basi na kupost. Tanzania hatuamini google, au yeyote aliyesoma anaelewa hilo sasa wewe umekanyaga hata class kweli? Credible sources are necessary here sio kubwabaja tu
I don't have to ask the damn world bank if you decided to represent them, bring the link here. Denial? don't make me laugh mate, with the news we're hearing about power cuts in various areas in kunyattaland who's living in denial? Kwanza how are you still able to chat with the power off? au uko kwa friend in a posh suburb nini?As usual you always live in denial. Hiyo ni moja ya sababu ambazo hadi wa leo bado mko katika lile kundi la LDC. Taarifa hiyo imetoka World Bank so unaweza wauliza hilo swali
Hahaha here is the link mtoto wa kidanganyika. Soma umakinike kidogo uwache kushindana na ndovu kunya usipasuke mk**du bure kabisaI don't have to ask the damn world bank if you decided to represent them, bring the link here. Denial? don't make me laugh mate, with the news we're hearing about power cuts in various areas in kunyattaland who's living in denial? Kwanza how are you still able to chat with the power off? au uko kwa friend in a posh suburb nini?
Kwani hiyo screenshot haina link? Au link ni nini? Jiangalie ulivo mjinga!!! The highlighted area in blue si ni link jamani?Hamna binadamu mzembe kama wewe yaani sijawahi kuona, bora hata ungetoa link tusome, ukagoogle tu na kuscreenshot basi na kupost. Tanzania hatuamini google, au yeyote aliyesoma anaelewa hilo sasa wewe umekanyaga hata class kweli? Credible sources are necessary here sio kubwabaja tu
I know you are a danganyikan but must you tell the whole world that you are one? I know that most Tanzanians, just like you, can't tell the difference between a power interruption and power rationing. To you and your ilk, the former and the latter are one and the same thing. Poor danganyikans!I don't have to ask the damn world bank if you decided to represent them, bring the link here. Denial? don't make me laugh mate, with the news we're hearing about power cuts in various areas in kunyattaland who's living in denial? Kwanza how are you still able to chat with the power off? au uko kwa friend in a posh suburb nini?
First, Yes! I am proud of my heritage and second, I can tell a difference, and don't change the topic, we were discussing about the enormous data you just brought us. Power rationing, power interruption i don't give a damn, you sleep with no power, you spend your day with no power, not my problem. Just bring the link by the WB with that information then we'll talkI know you are a danganyikan but must you tell the whole world that you are one? I know that most Tanzanians, just like you, can't tell the difference between a power interruption and power rationing. To you and your ilk, the former and the latter are one and the same thing. Poor danganyikans!
Kwa sababu unajifanya huoni, wacha tu nikuletee for the second time in less than five minutes. I know you are a danganyikan, you have problems understanding simple things a d dealing with you is one hell of a problem.Kili Summer
View attachment 1066014View attachment 1066016View attachment 1066017View attachment 1066018
Link to the WB dummy
Retarded Kunyan citizen, I want the data that you initially posted here with percentages, coming from the WB like you said.Kwa sababu unajifanya huoni, wacha tu nikuletee for the second time in less than five minutes. I know you are a danganyikan, you have problems understanding simple things a d dealing with you is one hell of a problem.
Kenya Charts Path to Achieving Universal Access to Electricity
Kenya has achieved substantial progress in economic, social, and human development over the past decade. Significant progress has also been made in the energy sector.www.worldbank.org
Najua hata hii pia utajifanya haujaona. Typical danganyikan
Look at yourself!!! What's the difference? Is that not a world Bank website ama tatizo lako lipi? Hii hata inasema 70% leave alone the previous one ya 2016 which was saying 56%. Number mtazidi kusoma kwa maumivu sana wadanganyika. Look at your poor selves! Fungua link usome wacha kusumbua. I didn't write the report. It is written by WB itself and they posted on their OWN website so you can ask them where they got the figure fromRetarded Kunyan citizen, I want the data that you initially posted here with percentages, coming from the WB like you said.
Faida yake nn kua na access alaf umeme hakunaππππ akili kichwani mwakoEndelea kuumia kakaView attachment 1065964
Look at yourself!!! What's the difference? Is that not a world Bank website ama tatizo lako lipi? Hii hata inasema 70% leave alone the previous one ya 2016 which was saying 56%. Number mtazidi kusoma kwa maumivu sana wadanganyika. Look at your poor selves! Fungua link usome wacha kusumbua. I didn't write the report. It is written by WB itself and they posted on their OWN website so you can ask them where they got the figure fromRetarded Kunyan citizen, I want the data that you initially posted here with percentages, coming from the WB like you said.
Faida yake nn kua na access alaf hakuna umeme kwenye sehemu muhimu kama hzoππππππππLook at yourself!!! What's the difference? Is that not a world Bank website ama tatizo lako lipi? Hii hata inasema 70% leave alone the previous one ya 2016 which was saying 56%. Number mtazidi kusoma kwa maumivu sana wadanganyika. Look at your poor selves! Fungua link usome wacha kusumbua. I didn't write the report. It is written by WB itself and they posted on their OWN website so you can ask them where they got the figure from
Sasa umeme utakosekana wakati kuna access? Ama ni kizungu inakupiga chenga? How can you access something that you don't have? Unatumia akili akili kweli? Wanaposema access rate, wanamaanisha idadi ya wakenya ambao kufikia sasa sana umeme katika nyumba zao ambapo kwa sasa asimila 56 wako na umeme ukilinganisha na asilimia 32 ya watanzinia. Mbona mambo rahisi hivi mnashindwa kuelewa??????Faida yake nn kua na access alaf umeme hakunaππππ akili kichwani mwako