Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naona ume highlight ujumbe wa msemaji wa kenya akiwapa matumaini kwenye hakunaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† djebout kashawachakaza kindakindaki subirieni tembo mweupe mwenye deni la thamani ya 2.5trillion ksh za mchina

Kenyatta kaua nchi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Middle income country but living in 17 century?
 
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Hahaha....juu taarifa uliosoma ni maoni ya nani? Acha upumbavu aisee
 
Hahaha....juu taarifa uliosoma ni maoni ya nani? Acha upumbavu aisee
Yale ni maoni ya watu walioona mbali
Umeumia sana kuskia harufu ya tembo mweupe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tena tembo huyo ndio anaenda kuuwa kenya moja kwa moja
 
lile suala la power interruption(mgao wa umeme) ndani ya kenya, linaendelea tena leo tarehe 8.

halafu utawakuta kwenye social media na vingereza vingi wakijidai ati wao ni watu wa uchumi wa kati.

eneo kukosa umeme kuanzia 9am-5pm ni hasara kubwa sana katika shuguli za kiuchumi.
 
Reactions: Oii
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…