Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I swear sijaona Westlands hapo, Westy, Karen, Lavington maana ndo expats wengi wanaishi. Ni wakenya wa kawaida maskini ndio huwa wanateseka halafu wanakuja hapa bila aibu oh multinational corporations ziko based in nairobi, zinawasaidia nini? hata kazi hamna kwenye hizo kampuni yaani ni foreigners ndo wameishikilia nairobi, blacks mpo tu mnachekacheka na njaa.
 
huko embakasi mpaka mida hii hawana stima(stima=umeme).
 
Endelea kujipa matumaini 😂😂👇👇👇 wenzako washaona tembo mweupe tayari
 
issue ya power interruption imekuwa very critical, mpaka mda huu kuna baadhi ya maeneo ya nairobi hayana stima.

here are recent tweets about it.
 
Moja ya mambo ambayo Rais Magufuli amechukua pointi za mezani ni suala la umeme,hakika kwenye hili eneo huyu Mzee Watanzania ametutendea haki,sipati picha ule mradi wa Mto Rufiji ukikamilika hali itakavyoboreka.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh maeneo yote hayo yanakuwa hayana umeme kuanzia saa 3 asubuhi hadi 11jioni?

i wonder this design of "middle income" country
 
Endelea kujipa matumaini 😂😂👇👇👇 wenzako washaona tembo mweupe tayari
View attachment 1065342
Can you read the highlighted part??? Ujinga ulio nao ni kupost article nusu ndo tuone umavi ulio kichwani mwako……We are very informed bwana......You will remain being an LDC country with your kind of mentality, stupidity and foolishness....Sasa kale kinyesi ulale!
 
March 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania

Tanzania - Crossing from Dar es Salaam to Zanzibar by fast ferry (Azam Marine)

The fast ferry from Dar es Salaam to Zanzibar takes approx. 1:40 hours. Both terminals are situated in city centers. You can choose between economy, business, VIP and royal class - while economy would be the only class on deck to get good pics from the passage

Source: Marco X
 
Zanzibar, Fumba - a brandnew exclusive town on the coast of the Indian Ocean

Fumba Uptown during construction phase in Dec 2018. It is a whole new town of approx. 600 houses (exclusive villas and apartments) being built by Said Bakhresa a Tanzanian business tycoon.

Source: Marco X
 

Superb


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…