kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hasira sio nzuri hasa ukizingatia kipindi hichi cha njaa plz plz[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hasira sio nzuri hasa ukizingatia kipindi hichi cha njaa plz plz[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
hakunaga kitu kinachokuja kwa uwepesi,kila nchi inafanya kitu kwa juhudi zake......ili ifike pale inapopaswa kuwa......hata south sfrica alikuwa on top,how about now?...
hivyo hata kenya nayo si kitu ni nchi kama nchi nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE
Asante kwa kukubali kwamba kwa sasa tuko mbele yenu
Asante kwa kukubali kwamba kwa sasa tumewashindahakunaga kitu kinachokuja kwa uwepesi,kila nchi inafanya kitu kwa juhudi zake......ili ifike pale inapopaswa kuwa......hata south sfrica alikuwa on top,how about now?...
hivyo hata kenya nayo si kitu ni nchi kama nchi nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Mutushinde kwa lipi????😂😂😂😂 munataka ushindi na njaa inawauaAsante kwa kukubali kwamba kwa sasa tumewashinda
Habari za leo ndugu,vipi taarifa za njaa iliyoua kule turkana kenya ni ya kweli au uzushi tu,wa watz wanaotaka kuwagombanisha na vipenzi vyenu wazungu!!!???
ulicho mchana ni kweli....ila tuwaache tu ns ujinga wao kwani yajayo yanafurahishaKuna swala hutaweza kulielewa wewe chief wa turkana. Unadhani Raisi wa URT anabahatisha? wewe focus na Dar tu ila mwenzio anaiandaa mikoa yote Tanzania, pale inapoanza kuyield results alizokua anazitaka mtabaki midomo wazi maana mikoa mingi sana itakua on fire kupika pato la taifa. Projects unazoziona Dar ni kuifanya irahisishe support as a business hub. Nakupa miaka tano from now utabadilisha hata hiyo ID
Labda mmeshinda njaaAsante kwa kukubali kwamba kwa sasa tumewashinda
huyo jamaa angekuwa mchungaji (pastor) angependeza sana[emoji3][emoji3][emoji3]Hehehe baba amekuja [emoji122][emoji122][emoji38][emoji38][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
[emoji3][emoji3][emoji3]inabidi tuwaulize who's GDP,.?..Na inawasaidia nini kama taifa la kenya?Anakuja mtu hapa anaropoka eti GDP [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Anakuja mtu hapa anaropoka eti GDP 👇👇👇👇👇👇👇👇👇
itajengwa ubungo kwa sehemu gani...?[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji116][emoji116][emoji116]
nimependa point yake ya kufundishwa kwa wazawa ili kesho kesho kutwa vitu vifanyike bila wajenzi wageni...Odinga baba ndani ya SGR tanzania[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Subutu laptops watoe wapi😂😂😂😂 labda makopo yakujazia makamasi😂😂😂😂👍 Mbona siwaoni na laptops?
Majirani mpooo😂😂😂😂👇👇👇
[emoji3][emoji3][emoji3]Asante kwa kukubali kwamba kwa sasa tumewashinda