Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Good, before you even think of overtaking kenya as economic power house of EA, first work very very hard to make sure you're countries GDP surpasses the Annual GDP of NAIROBI you crap.
Haya tuambia nairobi gdp ni ngapi na uje na na official source hapa😁😁😁 maana huwez kua na unajisifu una gdp ya kwenye makaratasi wakat hali halisi ya wakenya ni masikini kupindukia haiwezekani

Ikiwa hata maisha yenu yenyewe ni magumashi munadanganya hata maisha yenu wenyewe😆😆😆😆
 
Sasa hii ni campaign munafanya, acheni kutubeba ujinga, people from Zimbabwe are the one to say they have received help from TZ, so still they have not received any, atamkinjigamba bado hamja saidia chochote,
Hahah acha wivu budaa kwanza pambana na njaa alaf uje uongee hapa eti MLDC watu wanakufa na njaa hio inaingia akilini??? Punguzeni ujinga county zaidi ya 10 watu wanakufa na njaa alaf unakuja zungumza upuuzi hapa
 
Haya tuambia nairobi gdp ni ngapi na uje na na official source hapa😁😁😁 maana huwez kua na unajisifu una gdp ya kwenye makaratasi wakat hali halisi ya wakenya ni masikini kupindukia haiwezekani

Ikiwa hata maisha yenu yenyewe ni magumashi munadanganya hata maisha yenu wenyewe😆😆😆😆
Hahah acha wivu budaa kwanza pambana na njaa alaf uje uongee hapa eti MLDC watu wanakufa na njaa hio inaingia akilini??? Punguzeni ujinga county zaidi ya 10 watu wanakufa na njaa alaf unakuja zungumza upuuzi hapa

niliamua kuchunguza with facts, soma ujumbe hapo chini, muko among top 10,,
The Poorest Countries in the World (2019-2023)
 
wacha kubadilisha story, hakuna siku Tanzania itawai shida kenya, period, hata mjaribu aje, we will always do better than you guys, Hata Dar hatawai pita Nairobi kwa kila kitu, mwendelee kupiga kelele
🙂😀😀
 
Good, before you even think of overtaking kenya as economic power house of EA, first work very very hard to make sure you're countries GDP surpasses the Annual GDP of NAIROBI you crap.
hakunaga kitu kinachokuja kwa uwepesi,kila nchi inafanya kitu kwa juhudi zake......ili ifike pale inapopaswa kuwa......hata south sfrica alikuwa on top,how about now?...

hivyo hata kenya nayo si kitu ni nchi kama nchi nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wacha kubadilisha story, hakuna siku Tanzania itawai shida kenya, period, hata mjaribu aje, we will always do better than you guys, Hata Dar hatawai pita Nairobi kwa kila kitu, mwendelee kupiga kelele
🙂😀😀
Kushinda nn maana hatuwez shindana na nchi yenye njaaa, maji hakuna , failed state, home of slums, below poverty line iko juu, unemployment rate kubwa zaidi in east africa, corruption is there eating kenyans😆😆😆😆😆😆 kila sector imekufa kenya na zingine zinapumulia mipira ya mikojo upande mwengine mchina anawanyonya mate ipasavyo😁😁😁😁
 
wacha kubadilisha story, hakuna siku Tanzania itawai shida kenya, period, hata mjaribu aje, we will always do better than you guys, Hata Dar hatawai pita Nairobi kwa kila kitu, mwendelee kupiga kelele
🙂😀😀

Hii ndio kitu mumebakiza kenya 😆😆👇👇

wacha kubadilisha story, hakuna siku Tanzania itawai shida kenya, period, hata mjaribu aje, we will always do better than you guys, Hata Dar hatawai pita Nairobi kwa kila kitu, mwendelee kupiga kelele
🙂😀😀
Kuna swala hutaweza kulielewa wewe chief wa turkana. Unadhani Raisi wa URT anabahatisha? wewe focus na Dar tu ila mwenzio anaiandaa mikoa yote Tanzania, pale inapoanza kuyield results alizokua anazitaka mtabaki midomo wazi maana mikoa mingi sana itakua on fire kupika pato la taifa. Projects unazoziona Dar ni kuifanya irahisishe support as a business hub. Nakupa miaka tano from now utabadilisha hata hiyo ID
 
wajindanganya

1553163502157.jpeg
 
haki wewe ni mjinga na punguani. thibitisha hao watoto wenye utapiamlo ni watanzania.

by the way, ile boycott yenyu inaendeleaje?.

Wewe acha kuwa plastic hapa.....Who doesn't know your dingy dark nation under a dictator inaficha ukweli wa mambo.....The day you become real and stop being bum licker you will understand,for now you are only a hopeless fool
 
jinga hiii... punguza hasira.

umeshindwa kuthibitisha kuwa wale watoto wenye utapiamlo ni watanzania. mjinga mkubwa.
 
Back
Top Bottom