Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Hicho alichosema Raila ndicho tunachofanya, kuna wahandisi wengi watanzania wanaoshiriki katika ujenzi, pia wapo wahandisi kutoka JW ambo wapo kusaidi na pia kujifunza.nimependa point yake ya kufundishwa kwa wazawa ili kesho kesho kutwa vitu vifanyike bila wajenzi wageni...
natamani hata hao simba 2000 waliobaki wavuke boda waje upande wa serengeti tanzania.Simba kwisha Kenya
Sijaskia hio badoTshikedi hajatuma chakula toka DRC?
Endeeeni kudanganya dunia tu๐๐๐๐wacha kubadilisha story, hakuna siku Tanzania itawai shida kenya, period, hata mjaribu aje, we will always do better than you guys, Hata Dar hatawai pita Nairobi kwa kila kitu, mwendelee kupiga kelele
๐๐๐
17 counties njaa inaua watu ๐๐๐ inaskitisha mtu kuongelea GDP wakat watu wanakufa njaa inauma sana
View attachment 1051017
Bila shaka atakua anakula bata๐๐๐Aisee Uhuru yuko Windhoek saa hii hana habari!
๐๐๐ Jamaa anapiga vyombo si habaBila shaka atakua anakula bata๐๐๐
Mwanzo ilikuwa imeandikwa vp?5H-TCD imetoka Canada for ..service imerud imeandikwa hvyoView attachment 1051054
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisa upo sawa mkuuHicho alichosema Raila ndicho tunachofanya, kuna wahandisi wengi watanzania wanaoshiriki katika ujenzi, pia wapo wahandisi kutoka JW ambo wapo kusaidi na pia kujifunza.
Kitu kingine walichofanya kwenye maradi huu ni kutumia nguvukazi ya watu (labor intensive) badala ya mashine (Capital intensive). Kuwa rahisi kutumia ujuzi moja kwa moja utakapohitajika kutengeneza reli nyingine baadae badala ya kutegemea mitambo kutoka nje.
hakika ni mpuuzi sanaAlaf anasimama makamu wa rais anazungumza pumba kwenye nchi
ndiyo maana huwa tunawaambiaga kuwa hiyo GDP wanayopiga nayo kelele ipo mikononi mwa watu wachache wajujumu uchumi yaani mabwanyenye na white people...17 counties njaa inaua watuinaskitisha mtu kuongelea GDP wakat watu wanakufa njaa inauma sana
View attachment 1051017



yap ni amani sana pongezi kubwa5H-TCD imetoka Canada for ..service imerud imeandikwa hvyoView attachment 1051054
Sent using Jamii Forums mobile app
tumwache ale mbushi mzee baba back 2 ze world๐๐๐ Jamaa anapiga vyombo si haba