Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tech hub ziko nyng tu
IMG_20181223_231555.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wanamrudisha tena kenya baada ya kuona promo anayoipa bongo,anarudi tena kenya [emoji23]
huyu dogo licha ya kwamba anafanya kazi kubwa ya kutangaza miji mbalimbali ya africa, huwa anakumbana na misukosuko. mingi sana ya kukamatwa na authorities za miji husika.

alipokuja dar kwa mara ya kwanza, aliwahi kukamatwa na ameelezea katika moja ya video zake.

ila kali kuliko zote ni siku alipokamatwa nchini kenya. hii ameitengenezea video maalumu.
 
Yuko zenj,kesho anarudi dar
 
Hii angle Naipata Sema siku hiyo sikuwa na wise angle lens. Ukiwa na wise agle hapo unapata Li Skyline lote
Kweli kabisa, hivi kuchukua picha hayo majengo kutoka upande wa kigamboni inaruhusiwa? Na je kibali cha drone mlolongo wake ukoje?
 
Kweli kabisa, hivi kuchukua picha hayo majengo kutoka upande wa kigamboni inaruhusiwa? Na je kibali cha drone mlolongo wake ukoje?

Kibali kazi kama hujasajiliwa ila kama una leseni Yaani wewe ni photographer ni rahisi na unalipa fresh tu, drone lazima uka sajili Aviation🤣. Ila Watu wanarusha kama kawa. Kuna maeneo ya kupiga bila kupata shida Dar, Mfano Rooftops , From Kilimanjaro Ferry, Unazoom hadi ofisi ya DC 🤣, kama Photowalks kubwa kubwa mfano Instameet tunapata kibali na tunapita popote pale na kushoot.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom