REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,918
- 14,896
Ajabu mtoto wa miaka 6 anachunga ng'ombe katikati ya mji ukishangaa kivipi ng'ombe wanapitishwa lami kama magari, mwingine atashangaa kwanini huyo mtoto hayupo darasani akisoma, hayo ndio maisha ya developed Kenya 😂😂😂