EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
😂😂😂😂kufa hawafi ila chamoto watakionautauwa wakenya wewe....
Wametoa mapovu kweli kweli😂😂😂no, no, this photos are fake. it's not terminal three.....it's some airport in middle east...![]()
afadhali umekiri mwenyewe, stendi yetu kuu ya mabasi yaendayo mkoani inashindana kwa ubora na SGR na JKIA, HAHAHAHAHAHAHAHHA, BIG UP TANZANIABado tosha mbonga haijafikia hata Nairobi au Mombasa SGR terminal
View attachment 1038662
Waje tu tuna KIA, AAKIA, JKIIA na SIA tunaweza wahudumia!Kenya kuna migomo Sana migomo yenu inatunufaisha watzView attachment 1039157View attachment 1039158View attachment 1039159View attachment 1039160View attachment 1039161
Sent using Jamii Forums mobile app
At least now you have an idea of what traffic means and how KQ is busyKenya kuna migomo Sana migomo yenu inatunufaisha watzView attachment 1039157View attachment 1039158View attachment 1039159View attachment 1039160View attachment 1039161
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnajifanya ngeli saana, kumbe KiswanglishAt least now you have an idea of what traffic means and how KQ is busy
Well saidMwanza kuna sources of wealth nyingi mno. Serikali ikiwekeza kama invyowekeza Dar, uchumi utakua kwa kasi sana.
1. Mwanza ipo karibu na nchi zote za jumuiya ya afrika mashariki, ukijenga uwanja wa ndege wa kimataifa unaoeleweka Mwanza, itakuwa gateway ya hii region.
2. Jiji lipo karibu na hifadhi ya serengeti, watalii kutoka kona zote za dunia watakuwa wanakanyaga mwanza kwanza kabla ya kwenda serengeti, fursa za hoteli, migahawa nk
3. Ziwa victoria na samaki wake, kwa wale ambao wameshakula tilapia wanaelewa, viwanda zaidi ili tuweze kuexport more fish
4. Bandari iboreshwe tusafirishe vitu kupeleka Uganda baada ya sgr line kufika Mwanza
5. The city itself ni kivutio, hiyo miamba sio mchezo, urban tourism inweza kufanyika
6. More roads, Mwanza sasa hivi traffic jam inanukia kila siku, barabara ya kutoka town hadi nyegezi, buhongwa ambayo iko paved ni moja tu, hamna shortcuts nyingine za kukufikisha southern Mwanza zaidi ya hiyo so jam ikitokea katikati kwisha yako
Yaani Mwanza itakuwa tishio, miji kama Frankfurt in Germany haina population kubwa kama Berlin na wala sio capital city lakini serikali imespecialise kuwa financial center na uone jinsi fursa zinavyomwagika na TZ ifanye hivyo hivyo kwa miji kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dom sio kuwekeza Dar peke yake.
Kijana hii kufinywafinywa ilikuwa Kenya sio Tanzania. Ndugu zako wanafinywa huko kawasaidie.We called this solidarity and freedom of expression, jaribuni huko Tanzania muone vile mtafinya finywa na kukanyagwa kanyagwa
Kigamboni progress👇👇👇👇dungu farm
View attachment 1039397View attachment 1039398View attachment 1039399