ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
👇👇👇👇👇👇😂😂😂😂
Sure, sasa mikoa yote Tanzania itakua imefikiwa na barabara za lami rasmi na inaunganisha Tanzania na Burundi kwa lami, katikati barabara hii pia kutajengwa hospitals, masoko, bus stands na miundombinu mingine tofauti na barabara in one package, ni mradi wa aina yake ndio maana upo a little bit expensive.
😂😂😂😂😂😂