Ngokongosha
JF-Expert Member
- Feb 9, 2011
- 3,400
- 7,610
Itakuwa imejengwa na wachina hii, Kenya wakaambiwa ni Chinese class one,
Kinachonishangaza mikataba iko kwa kiingereza na wachina hawajui kiingereza vizuri kama wakenya ila bado wanawaingiza mjini.

