Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Britam is getting amazing illumination at night even before completion. Nairobi is the emerging most beautiful global city
 
Ila mambo ya kujitia sifa kuwadanganya watu humu ndani kua kenya airways imenunua dreamliner cash... Am sorry bro....BIG NOπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Ukiongea kitu lazima uwe tayari kui-backup. ulisema wamekodi nikataka kujua wamekodi kutoka kwa nani, swali ambalo ulilijibu pamoja na kuruka hapa na pale. Kwenye hili nipo nawewe. Saivi najua dremliners Kenya airways wamekodi kutoka BOC thanks to you. Ila Kwa vile sijawai kuongelea ununuzi wa ndege cash au mkopo nta-assume huniambii mimi.
 
Mm kua engineer au kutokua wewe huwez kuamulia chochote hapo ila naimani kuelewa umeelewa na hio ndio ilikua nia yanguπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ngoja nikuache but there is no possible way you could be an engineer. That's not a title you just pick up on your leisure walks! So please keep off and have some respect!
 
Ngoja nikuache but there is no possible way you could be an engineer. That's not a title you just pick up on your leisure walks! So please keep off and have some respect!
Hahahahhahahha pole sana bro ukweli mm kua au kutokua naujua mimiοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mm nashkuru umeelewa ndio napofurahi hapoπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Hayo mm ndio uniletee kama unajua sasa nilikuomba official source wewe pamoja na mwenzako wanjala ila masikini ya Mungu sijapata hata information za kudanganya au za uongoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Tatizo lako ulivamia swali usilolijua na mm nilijua hamuna jibu na lile lilikua Bomu la wanjala ndio maana mpaka leo kapita wima πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Sasa umeenda kudaka Bomu LA mwenzako linakuhangaisha mpaka keshoπŸ˜›πŸ˜›
 
Haya nimesema hvo so wewe shida yako nini au kipi kinachokuuma hapo au usichoelewa..
Mm kwenda university au kutokwenda we hakuwezi kukusaidia kitu tatizo lako unajaribu kukwepa swali language uonekane hujashindwa hahahhahahah ilaa sasa kaka mm swali langu huwezi kulijibu ndio maana nilikwambia lile lilikua Bomu la mwenzako sasa umelivamia wewe limekushinda unaanza kuzungusha mada hahahhahahha
Chamuhimu pumzika hakuna kukwepa swali hapa
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Unajifanya mjuaji alaf hakuna ulijualo mm nilifurah nikajua umekuja kumsaida wanjala kumbe aliekimbia ameonekana anaakili οΏΌοΏΌπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Pumzika baba......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ngoja nikuache but there is no possible way you could be an engineer. That's not a title you just pick up on your leisure walks! So please keep off and have some respect!
Keep off au sio hahhaahhha pumzika kaka...
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Maana we ndo umekua proffesor wa dunia πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Yani unahangaika kisa swali hilo
Basi kaka siulizi tena swali hilo kwanzia leoοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
Tumemaliza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahahahhahahha pole sana bro ukweli mm kua au kutokua naujua mimiοΏΌοΏΌοΏΌοΏΌπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mm nashkuru umeelewa ndio napofurahi hapoπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Hehehe...Kwenye ndoto zako labda😎 ila kiuhalisia huwezi ukawa coz kuna kitu muhimu sana inabidi uwe nacho ndo unaweza ukafikia hatua hiyo but clearly you don't got it.
 
Guys we are all East Africans share so much in common the Idea is good but the types of comments flowing are not helping and altogether we are an embarrassment.. Neither Nairobians or Bongo guys will be seen wiser than the others...
Cha kufanya Tuelimishane kipi kimepiga hatua huku na kule bado..tujifunze changamoto tulizokulia na tutafte njia bora za kutatua kero za miji yetu...Mshindi Wa moja kwa moja hawezi patikana kwa sababu mazingira,vigezo na takwimu zinazotumika pia zote ni changamoto pia...Nawasilisha
 
Keep off engineers huo uwanja huwezi ukachezea ndo ninachokuambia tafuta fani size yako... jamaa wa faculty of aviationπŸ˜€πŸ˜€
Swali gani umeuliza?
 
N
nimekukamatia uongo sasa umerudi kuleee..... povu land hehehe.
Are you even aware that I have taken you on a joy ride?! Probably notπŸ™„
 
Keep off engineers huo uwanja huwezi ukachezea ndo ninachokuambia tafuta fani size yako... jamaa wa faculty of aviationπŸ˜€πŸ˜€
Swali gani umeuliza?
Unajifanya hukuskia swali au umelikwepa????
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hehehe...Kwenye ndoto zako labda😎 ila kiuhalisia huwezi ukawa coz kuna kitu muhimu sana inabidi uwe nacho ndo unaweza ukafikia hatua hiyo but clearly you don't got it.
Kwakwakwa professor wa dunia hahhahahha
Bomu limekuripukia unatafuta njia ya kutokea πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Bomu la wanjala umelikombatia wewe sasa umeona mambo magumu unaleta zugaπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
N
nimekukamatia uongo sasa umerudi kuleee..... povu land hehehe.
Are you even aware that I have taken you on a joy ride?! Probably notπŸ™„
Kwan swali umelijibu au unazuga njia ya kutokea hahhahahah so kwakifupi swali langu limekosa wakujibu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Wanjala aliingia mtini sasa wewe unatafuta njia yakutokea πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
So kwakifupi narudia tena kua kenya airways haijanunua ndege cash zote wameleaseπŸ˜€πŸ˜€
Nimefunga ukurasa fungua mdahalo mwengine tuendeleeπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Labda mm nijibu kwakifupi sana mambo mengi yaliyo bongo nairobi hakuna na mambo machache yaliyo nairobi dar hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…