Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,091
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,091 280
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Messages
6,362
Likes
3,336
Points
280
eliakeem

eliakeem

JF-Expert Member
Joined May 29, 2009
6,362 3,336 280
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
2,188
Likes
2,443
Points
280
Age
31
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
2,188 2,443 280
Billion 12 kila mwaka kwa miaka miatano ni sawa na bil60 zitalipwa na serekali kua na hisa 49 against 51 for airtel

Wamejiwahi mapema.. Magu achezewi , wange bisha bisha yangewakuta yakuwakuta.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,251,868
Members 481,917
Posts 29,788,450