Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Likes
15,091
Points
280
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 15,091 280
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
J

JKemah

Member
Joined
Apr 22, 2018
Messages
29
Likes
15
Points
5
J

JKemah

Member
Joined Apr 22, 2018
29 15 5
test of nairobi 2019
 

Attachments:

Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2017
Messages
5,692
Likes
2,405
Points
280
Lusematic

Lusematic

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2017
5,692 2,405 280
Kinachonifurahisha hawa wanaojiita wasomi hawa majirani wakora hakika siwaonagi kabisa kwenye medali zakimataifa wakipata nafasi hizi....kiasi cha kwamba mpaka napata hofu kuwa hawa jamaa kwenye vyuo vyao kuna vikozi vya ajabu ajabu na inawezekana mtu akawa na degree hata ya kufua nguo na kuanika

FOOLISH &.STUPID KENYA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
game over

game over

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2016
Messages
4,544
Likes
6,376
Points
280
Age
49
game over

game over

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2016
4,544 6,376 280
hii thread ingefutwa tu naiona ya kitoto, mnapimanisha maghorofa wakati kila mji yapo na wala si kitu cha kushtusha siku hizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni Maoni ya Mtu mmoja kati ya watu milioni 3 wanaotembelea na kuvutiwa na maudhui ya uzi huu.
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,371