Walker255
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,884
- 12,949
mpe na hizi dozi nyingine, anahitaji sanaPumzika na hzi upunguze hasira na jazba😂😂😂👇👇👇👇View attachment 1004949View attachment 1004950View attachment 1004951
mpe na hizi dozi nyingine, anahitaji sanaPumzika na hzi upunguze hasira na jazba😂😂😂👇👇👇👇View attachment 1004949View attachment 1004950View attachment 1004951
Nai nina mpango wa kuja kutembea wikendi very soonHaya tukuje Nai
Hivi huyu ni engineer kweli? maana such a prestigious title mtu anayefanya ujinga anaitumiaLevel ya slums😂😂😂 level ya unemployment rate, level ya below poverty line👏👏👏👏
Hata muwe na haraka vipi kwenda zenji,hamuezi kupanda jahazi la mzee yusufu,mpo? maadam safari mnayo ndefu .mpe na hizi dozi nyingine, anahitaji sanaView attachment 1004952View attachment 1004953View attachment 1004954View attachment 1004955View attachment 1004956View attachment 1004957
Umesema huna muda wa kuchambana au unawashwa na nini chumbani ilihali pilipili ipo shambani?.Hivi huyu ni engineer kweli? maana such a prestigious title mtu anayefanya ujinga anaitumia
halafu hii kitu imeshaisha, city lodge.
hizi picha wenzako walishawahi kuzi post hapa mwaka 2017.Haya
hilo swali halikuwa lako, ningetaka jibu kutoka kwako ningekuuliza wewe, so please mind your damn businessUmesema huna muda wa kuchambana au unawashwa na nini chumbani ilihali pilipili ipo shambani?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo nadhani keshaelewaPart of temeke👇👇👇👇👇View attachment 1004831View attachment 1004832
Wacha maneno tupia pics za EastleighHehehe nipanic Kwa sababu ya wauza nguo na dagaa kutoka bukoba na zenji? Kitu ambacho kinafanya niipende kariakoo ni kua ni pasafi tu hamna lingine majengo Hadi kibiashara huwezi linganisha na Eastleigh.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kachanganyikiwa hadi kadhani ni upanga!!
Huwezi uliza swali la kumdalilisha mtu afu unatarajia ujibiwe kiheshima.nimekujibu kulingana na swali lako.hilo swali halikuwa lako, ningetaka jibu kutoka kwako ningekuuliza wewe, so please mind your damn business
Temeke ni uswazi tu hivi wewe huoni haya kuutaja hapa?Hapo nadhani keshaelewa
Hatuzungumzii temeke uwanja tunazungumzia temeke makaazi ya watanzania hata wewe unajua uhalisia wa temeke bila ushabiki wa kitoto hadhi yake ipo chini sana.Temeke ndio inahost AFCON under 17