ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kijitonyama budaa👇👇👇😂😂😂Karibu Upperhill sasa, mimi ndakupeleka pole pole
Kijitonyama budaa👇👇👇😂😂😂Karibu Upperhill sasa, mimi ndakupeleka pole pole
tukuje upande wa ngong road and mbagathi area
Bado sana budaa😂😂😂👇👇👇 utarudi na utaenda sana tuNakurudisha CBD and downtown
Hizo umezirudia na kubadilisha angle, kajifiche mbugani budaakaribu westlands
Sasa hii Kijitonyama inamalizana na westland. baada ya hapo hawana ya kupambanisha na Posta, Upanga, Kariakoo, Masaki, Oysterbay, mbezi beach, temeke n.k
Chief, huoni haya unatuonesha picha za mji halafu kule nyuma au mbele ni mbuga? Halafu hiyo yenye njia naona kibasi cha mtindo wa kile kibasi cha gormahiaNakurudisha CBD and downtown
Sijampeleka kariakoo nashangaa karudi tena CBD😆😆😆😆😆😆Chief, huoni haya unatuonesha picha za mji halafu kule nyuma au mbele ni mbuga? Halafu hiyo yenye njia naona kibasi cha mtindo wa kile kibasi cha gormahia
Sasa hii Kijitonyama inamalizana na westland. baada ya hapo hawana ya kupambanisha na Posta, Upanga, Kariakoo, Masaki, Oysterbay, mbezi beach, temeke n.k
We nawe acha uboya ,magomeni kuna nini cha maana?.Bado magomeni heheh![]()
Hehehe ,Hadi temeke? Makubwa hayo.Sasa hii Kijitonyama inamalizana na westland. baada ya hapo hawana ya kupambanisha na Posta, Upanga, Kariakoo, Masaki, Oysterbay, mbezi beach, temeke n.k
Kariakoo hamna kitu ,ni wauza nguo Tu.Sijampeleka kariakoo nashangaa karudi tena CBD![]()
Hehhe wewe unajua kuna nn???😂😂😂
Endelea kujidanganya kariakoo👇👇👇
Part of temeke👇👇👇👇👇
The area btn Shekilango to Mlimani city will be another CBD, think of ministry of water tower, nssf tower, Mlimani tower, Mlimani city complex with new hotel, conferences, Aga Khan University, Blue Pearl Hotel n Apartments plus the new East Africa business center with thousand of shops!