EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,709
- 35,702
😀😀😀ikr?
Eti!!! Kumbe Yale mavazi mabaya wameyakubali kuvaa polisi ya Kenya naona huyo kayavaa
duh!!!...basi sawa.
rudi kwenye jukwaa lako pendwa la mapenzi na mahusiano. huku hapakufai ndg.
kule twitter wanajifanya wanajua sana kurusha maneno....ila hapo wanaume wanne wa alshabab wamemfanya apinde mgongo na kutoa macho kama panya aliyebanwa na mlango.








mawazo tuuFungua uzi wake itakua poa zaidiWadau sasa hv kwa nn tusianze kushare project za miji mikubwa mingine kama mwanza na arusha
mawazo tuu
Sent using Jamii Forums mobile app


wakenya wameamua kirudi baada ya kuona uzi unakua mrefu kama wote... Haha wanateseka sana bora warudi kwani pesa ngapiwakenya wameamua kirudi baada ya kuona uzi unakua mrefu kama wote...
Sent using Jamii Forums mobile app
Tax collection oriented, development projects implementation. ..nice move JPM