Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

licha ya kwamba jeshi la kenya (kdf) lina kikosi maalumu cha kijeshi kinacho deal na special operations, wazungu wameamua kujipa credit zote zinazohu makabiliano na magaidi wa alshabab katika tukio lilitokea hivi karibuni.

na kwa jinsi inavyoonekana, kazi kubwa ilifanywa na wanajeshi wazungu toka uingereza na USA. kdf walikuwa wanang'aa sharubu na kujificha kwa uoga.

hii ndio kusema, wanajeshi wa kenya huwa wanaenda boot camp kujifunza ukora na ujinga.

acheni makomando wa jwtz wapate sifa africa, maana mziki kama huu wangeumaliza wao wenyewe bila msaada wa mzungu.

View attachment 996676View attachment 996677View attachment 996678View attachment 996679
aibu
 
the world isn't fair, kupambana wapambane kdf halafu credit ziende kwa mpuuzi mmoja mzungu. ila ni sawa tu acha jamaa ajizolee sifa since mkenya anathamini sana mzungu kuliko mkenya mwenzie.
IMG_20190117_102033.jpeg
 
social media platforms particularly twitter is the only place kenyans can manage to hold a real fight(verbal warfare).

wameacha kupambana na common enemy ambaye ni magaidi ya alshabab, wamehamishia vita yao ktk kumtupia maneno mhariri wa gazeti la newyork times na kushinikiza kwamba aondoke kenya kwa kosa la ku publish picha za lile tukio.

Screenshot_2019-01-17-10-50-07-456_com.opera.browser.jpeg
 
sidhani kama gormahia au fc leopard walishawahi kufanya kama hivi ktk kipindi ambacho tz alikumbana na majanga.

kama walishawahi, nitaomba tuletewe ushahidi.
naskia kuna thread wamenitag lakini sioni kwangu hebu nitag
 
social media platforms particularly twitter is the only place kenyans can manage to hold a real fight(verbal warfare).

wameacha kupambana na common enemy ambaye ni magaidi ya alshabab, wamehamishia vita yao ktk kumtupia maneno mhariri wa gazeti la newyork times na kushinikiza kwamba aondoke kenya kwa kosa la ku publish picha za lile tukio.

View attachment 997006
Huu utoto sasa kujaribu ku-bar media freedom! Wakenya waache utoto!
 
the world isn't fair, kupambana wapambane kdf halafu credit ziende kwa mpuuzi mmoja mzungu. ila ni sawa tu acha jamaa ajizolee sifa since mkenya anathamini sana mzungu kuliko mkenya mwenzie.
View attachment 996954

Nachukia sana mtu anayempapatikia mzungu,angali yalivyoandika hii habari kifala.

GSU wamefanya kazi yote,huyo mhuni kisa kaonekana mara moja kifua wazi basi ndio man of the match.kwanza nina mashaka naye ni katika ramani,inakuwaje mara zote anakutwa aneo la tukio??
 
hakika huyo jamaa angekuwa bongo kwanza tungemkamata kwaajili ya mahojiano zaidi na mwisho wa siku asipoeleweka zaidi tungemtupia ndani acheze na nondo kidogo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
licha ya kwamba jeshi la kenya (kdf) lina kikosi maalumu cha kijeshi kinacho deal na special operations, wazungu wameamua kujipa credit zote zinazohu makabiliano na magaidi wa alshabab katika tukio lilitokea hivi karibuni.

na kwa jinsi inavyoonekana, kazi kubwa ilifanywa na wanajeshi wazungu toka uingereza na USA. kdf walikuwa wanang'aa sharubu na kujificha kwa uoga.

hii ndio kusema, wanajeshi wa kenya huwa wanaenda boot camp kujifunza ukora na ujinga.

acheni makomando wa jwtz wapate sifa africa, maana mziki kama huu wangeumaliza wao wenyewe bila msaada wa mzungu.

View attachment 996676View attachment 996677View attachment 996678View attachment 996679
duh afadhari sasa tumeyaona matunda ya uwepo wa base zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom