Tunawanyoosha mungiki,na tutazidi kuwaacha mbali sana pia kwenye utalii,mtalii gani ataenda kunyaland nyakati hizi,labda awe hajitakiEti walisema china ni rafki zao
anything that magufuli says or does is a news content to kenyans to the extent that kenya media can't avoid to report it.
View attachment 998288
Hakika yajayo yanafurahishawaingereza huwa wanasema "numbers don't lie".
page ya air tanzania kule instagram ndani ya miezi minne tu tayari inaizidi page ya KQ kwa idadi ya followers.
kwa watu ambao ni business minded katika masuala ya digital marketing, hii ina maana kubwa sana.
bado katika ukurasa wa twitter na facebook . kadili siku zinavyoenda, air tanzania itakuwa na followers wengi kwenye digital platforms kuzidi kenya airways.
tutaelewana tu...View attachment 998248View attachment 998249



Yaani kwa sasa ni mwendo wakujitangaza watajuta maana tuliwaachia nafasi ya kujitangaza wakajisahau wakapitiliza na kutangaza vya kwetu kwa kusema ni vyao sasa wenye navyo giant amerudi baada yakuona mtoto hana mipango kafeli



failed estateyani hao jamaa kuikamata tena dar wasahau maisha yao yote😀😀😀😀😀😀😀
Kuna mtu niko naye apa kaona hii picha kaniambia mwanangu dubai ni kuzuri nimebaki namshangaa




