sure, viongozi wakenya walione hili, hata kama ni wewe unaona majeshi ya jirani yako yanawakalia kwenu hata kama sio gaidi utawafadhili wafanye lolote kuwadrive out na kingine kuuwanauwana kunatengeneza visasi visivyoisha kama ilivyokua kwa palestina na israelKumbe unachunguliaga humu,si umesusa wewe,yote kwa yote poleni sana kwa hilo tukio,wakati wa kuondoa majeshi yenu somalia ndio huu,hao wajinga shabab hawana cha kupoteza
watutolee shombo hapa, ni mwendo wa Thank you, Next humu, tunataka utulivu ulioponaona kuna baadhi ya manyang'au yanarudi kwenye battle kwa kutumia excuse ya kupost habari zinazohusu tukio la alshabab kushambuliwa kenya.
![]()
kahaba housemaid nasikia harufu yako mbaya kwa huu uzi. bila shaka haupo mbali na hapa.















AsifichweSikasikia Wakenya humu wakitoa shukurani Kwa hero SAS soldier ambae alifanya kazi kubwa saaanaView attachment 996619View attachment 996621View attachment 996622















Hili ni gumzo kweliKidogo tuondoe stress na huxuni iliyotawala kwenye hili wiki
Ujue wazambia wameamua kutuzingua ausee
View attachment 996661
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hawa jamaa na wakenya kwa tabia zakizee ni mapacha wanaendanaHili ni gumzo kweli



Hadi timu yangu pendwa Yanga atukua nyumaHapa ndiyo utagundua Tofauti kati ya artist wakenya na watanzania ni wapi wenye asilimia kubwa ya utu ama ubinadamu wenye moyo wa upendo....
Pia hata kwa wananchi wa kawaida wasio maceleb napo ni hivyo hivyo
GOD BLESS TANZANIA tuzidi na tuendelee kuwa na mioyo safi
Hawa ni baadhi ya Tanzania artist wakishow love
View attachment 996612View attachment 996611View attachment 996613View attachment 996614View attachment 996615
Sent using Jamii Forums mobile app








Kabisaa hakika wajue kama sisi watz si kama waoHadi timu yangu pendwa Yanga atukua nyumaView attachment 996680

hatuna roho chafu kama wao
Aisee ni dharau kubwa sanalicha ya kwamba jeshi la kenya (kdf) lina kikosi maalumu cha kijeshi kinacho deal na special operations, wazungu wameamua kujipa credit zote zinazohu makabiliano na magaidi wa alshabab katika tukio lilitokea hivi karibuni.
na kwa jinsi inavyoonekana, kazi kubwa ilifanywa na wanajeshi wazungu toka uingereza na USA. kdf walikuwa wanang'aa sharubu na kujificha kwa uoga.
hii ndio kusema, wanajeshi wa kenya huwa wanaenda boot camp kujifunza ukora na ujinga.
acheni makomando wa jwtz wapate sifa africa, maana mziki kama huu wangeumaliza wao wenyewe bila msaada wa mzungu.
View attachment 996676View attachment 996677View attachment 996678View attachment 996679



Wazungu washenzi sana. Wanatafuta kiki huku watu wanakufa.licha ya kwamba jeshi la kenya (kdf) lina kikosi maalumu cha kijeshi kinacho deal na special operations, wazungu wameamua kujipa credit zote zinazohu makabiliano na magaidi wa alshabab katika tukio lilitokea hivi karibuni.
na kwa jinsi inavyoonekana, kazi kubwa ilifanywa na wanajeshi wazungu toka uingereza na USA. kdf walikuwa wanang'aa sharubu na kujificha kwa uoga.
hii ndio kusema, wanajeshi wa kenya huwa wanaenda boot camp kujifunza ukora na ujinga.
acheni makomando wa jwtz wapate sifa africa, maana mziki kama huu wangeumaliza wao wenyewe bila msaada wa mzungu.
View attachment 996676View attachment 996677View attachment 996678View attachment 996679