Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Okay acha tupambane na hali yetu
 
Its called a tactical formation
Pliz just try and hide your ignorance

Usijivue nguo watu wapo na taaruma zao humu,tactical formation na hao watu pembeni ni sehemu ya hiyo section???au wanatia kiwingu tu hapo!!!!
 
Kwan marekani aliposema tanzania haipo salama kisa ushoga mlikua munashabikia nini???? So pamabaneni na wanaume hao walikua wanne tu ila wamesmamisha nchi nzima na kuwakamata hamujawakamata

Tanzania si salama kisa mashoga wanaandamwa,mkenya anashangilia[emoji16][emoji16][emoji16].

Mkenya kaweka mazingira salama kwa wanyanduliwaji vinyeo,ila warengwa wa ugaidi sio habari waende tu wakapasuliwe kama wanataka.
 
Kwan marekani aliposema tanzania haipo salama kisa ushoga mlikua munashabikia nini???? So pamabaneni na wanaume hao walikua wanne tu ila wamesmamisha nchi nzima na kuwakamata hamujawakamata
Who told you kenya supports homosexuality
And how does USA issuing travel warnings to tz affect kenya how does it relate to kenya terrorist attacks
 
Tanzania si salama kisa mashoga wanaandamwa,mkenya anashangilia[emoji16][emoji16][emoji16].

Mkenya kaweka mazingira salama kwa wanyanduliwaji vinyeo,ila warengwa wa ugaidi sio habari waende tu wakapasuliwe kama wanataka.
Kenya doesn't support homosexuality
I don't where you got that
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…