kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
kwaiyo ndo analipa fadhira sasa ?Tuliwapigania kupata kiti katika baraza la UN.
Itapita juu nimeskia hvoWadau nimeuliza pale Buguruni Kwa Bakhresa Sgr itapita juu au underground nisaidie kujua
Sent using Jamii Forums mobile app
Mie pia ujiuliza hilo swala🤔🤔 Buy i think underground
Na tuliwasaidia chakula kipindi wanaanza kuingia kwenye industrializationTuliwapigania kupata kiti katika baraza la UN.
Hapa Millard ayo alituchukua broni kilo 323.6 ya dhahabu thaman yake ni 3 trillion
Hahaaaa nadhani msemo wa JOKA LA MAKENG'EZA una wastaili wakenyakwaiyo ndo analipa fadhira sasa ?
naona wakenya wanashabikia usa base nchi kwao alafu wanataka mkopo from china
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona CBD kuna mashamba ya miti. Hamna fisi kweli hapoView attachment 988554
Hapa ndio tunaelekea, wakenya ni biashara "Global Trade Center"
Hapa Millard ayo alituchukua bro
1kg ya Gold =40,000usd so 300kg ni dola million 12 which is roughly bilion 28 yan ina value kama ya billion 30 +
Sent using Jamii Forums mobile app
THE GREEN CITY UNDER THE SUN,
Hivi ni mojawapo ya vituo watavyoweka Yapi SGR TZ: