thisdayes
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,610
- 4,557
Hawa ndiyo wakali wa hizi kazi.. tutapata European touches za maana.Hivi ni mojawapo ya vituo watavyoweka Yapi SGR TZ:
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Hawa ndiyo wakali wa hizi kazi.. tutapata European touches za maana.Hivi ni mojawapo ya vituo watavyoweka Yapi SGR TZ:
kabisa kaka kind of fresh air!!!! breathtaking.Limejengwa kisasa afu lime adopt culture yetu unaweza zunguka airport zote duniani ila ukitua JNIA TB3 utajua uko Africa particularly Tanzania.Afu pazuriiii pasafiiiii!!!! A/C kona zote ubaridi flani hiv,huku watoto wazuriiii wakitanzania wakikuhudumia.Unataka nini tena.hahahItapendeza zaidi
Hizi sifakabisa kaka kind of fresh air!!!! breathtaking.Limejengwa kisasa afu lime adopt culture yetu unaweza zunguka airport zote duniani ila ukitua JNIA TB3 utajua uko Africa particularly Tanzania.Afu pazuriiii pasafiiiii!!!! A/C kona zote ubaridi flani hiv,huku watoto wazuriiii wakitanzania wakikuhudumia.Unataka nini tena.hahah
😂 😂 😂 😂 😂Hizi sifa
Ana ruka kinyume kavaa tauloUsidanganye umati😂😂😂👇👇👇View attachment 988745View attachment 988746
Hatari sana....nazidi kugain vitu kuwa yale mabanda ya kuku ya station za kenya ni magofu style baada ya kipindi kadhaa yatakuwa ni chakavu...yapo local sana asa ndaniHivi ni mojawapo ya vituo watavyoweka Yapi SGR TZ:



Wanachanganya madawa.kwaiyo ndo analipa fadhira sasa ?
naona wakenya wanashabikia usa base nchi kwao alafu wanataka mkopo from china
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima waelewe tu sisi sio watu wa mchezomchezo