Ukweli kenya hakuna chama cha siasa bali vilivyopo ni vyombo vya kuwafikisha madarakani viongozi.wakati huhuo, siasa zao za kikabila zimeshaanza kuchukua nafasi mapema sana kabla ya muda rasmi wa uchaguzi.
sisi wengine tulishatabili kwambwa kabla ya uchaguzi wao wa 2022,lazima mkikuyu atahahikisha mkelenjini william ruto hawai rais wa kenya licha kuwa mtu wa karibu na uhuru kenyatta.
View attachment 978716
Thaman ya gold iliokamatwa ni trillion 3 broHili kama ni Kenya, vikosi vyote vya kijeshi vingewapa mpaka escorts mpaka wanaotaka sababu ya Corruption, Tanzania kuna uzalendo sana just imagine police kukataa hongo ya zaidi ya million 300 hata pensions zake haxifiki million 100
Kha! Nikali kulikoThaman ya gold iliokamatwa ni trillion 3 bro
Dar Inakwenda moto aisee
View attachment 987985View attachment 987986 Evergreen , naona kwa mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseThaman ya gold iliokamatwa ni trillion 3 bro
ni kilo 323.6 ya dhahabu thaman yake ni 3 trillionKha! Nikali kuliko
Aise
Police waliohusika wapandishwe vyeo na wapewe pesa ya kutosha
Ngara slum nairobi😂😂👇👇👇👇
it's only nairobi where there is light. are places are too dark.
which part of dubai did you take this photo bro?. i assume this is not africa.
I'm actually surprised myself, we have to get used to these scenes in Bongo now though, no kufananisha these places with ulaya anymore. Oh and I didn't take this photo, I found it on twitter.which part of dubai did you take this photo bro?. i assume this is not africa.