Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ahahahahahaha Wikipedia waongo, encyclopedia waongo, Google map waongo wote wanaionea sana kenya sijui kwanini πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hata Mimi inaniuma sana kwanini wanaaonewa hvo kumbe source zote waongoπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 


Kwani wewe ni Mzungu hadi auseme ,,tunaita"?
 
Haya basi waambie wame-lease dreamliner kutoka kampuni au airline ipi na uwape na link kabisa ukipata!
 
ni vizuri umeleta hii picha. unaona iyo miji inaitwa kiserian kikuyu athi yote huwezi tafautisha maana majengo tupu kutoka city centre mpaka past hiyo miji hiyo ndio inaitwa metropolitan.
 
ni vizuri umeleta hii picha. unaona iyo miji inaitwa kiserian kikuyu athi yote huwezi tafautisha maana majengo tupu kutoka city centre mpaka past hiyo miji hiyo ndio inaitwa metropolitan.
Tunaongelea urban city inayoeleweka na source zinavosema tena nimekupa source tatu za kimataifa zote zinasema the same thing, sasa nakuuliza zinasema uongoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Wanazo link kibao waliweka wenyeweπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Nimezipitia zote, hakuna inayotaja dreamliner wame-lease kutoka wapi! We Wape hiyo yakuonyesha kabisa wamiliki was hizo dreamliner ndo utawanyamazisha vizuri.πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…