Nimeangalia hii via duct aisee hawa jamaa achana nao[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 972893
Hapo mbele patakua na station kaliii, mixed use, with malls and other recreational facilities.Dar es salaam, Halafu anatokea fala mmoja anafananisha na usenge gani sijui Kibera
View attachment 972487
Wameweka ili kutunza uoto na pia kuzuia mmomonyoko, wenzetu wameweka concreteView attachment 972701
hapa ni km 45 kutoka dar
nimependa nyasi zilivyotulia ukizingatia hazitakuwa zikipigwa na moshi wa diesel.
Hii inchi ni motoooooMmiliki wa fastjet tanzania bwana masha nae anafanya maajabu hayajawahi kutokea😂😂😂😂😂🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇
Ile idea ya reclamation bado IPOKiufupi tunaenda kuivunja rekodi yetu wenyewe, Nyerere bridge haijapata mpinzani hapa EA toka limalizike, sasa Selander bridge likimalizika tutatengeneza rekodi hiyo hiyo: The longest suspension bridge in EA
View attachment 972971
Kwenye terminal building naona wanatumia advance building technology kwenye constructions hatari sana hawa watu👇👇👇👇 hawa jamaa wako under europen standardsDah hatari sana, hiyo structure features zake tu inakupa picture hii kitu ni concrete kinoma, kwenye terminals ndio itakua balaa
😂😂😂 Mungiki yeyote unaenisoma naomba taarifa za likoni Bridge tuweke kumbukukumbu sawa tafadhali
👏👏👏👏👏👏👌 Dah hii structure huwezi kulifananisha na prism ule uchafu wa Nairobi,Kwenye terminal building naona wanatumia advance building technology kwenye constructions hatari sana hawa watu👇👇👇👇 hawa jamaa wako under europen standardsView attachment 972976View attachment 972977
😂😂😂😂😂 Ila likoni imeimbwa hapa mpaka imekua kama salamuLikoni bridge haitakuwepo mpaka yesu ashuke😂😂😂😂
Zuwena dada yangu unajua kuna treni na garimoshiHahaha watu mnamaneno.
Kwamba wenzetu Wana gari moshi
kitu nilichopenda zaidi stesheni zetu kubwa karibu zote ziko mjini, maana yake malls na biashara zingine zitaendelea kama kawaida na tunaweza tumia kwa ajili ya commuter train, unaweza toa watu Pugu unawaleta city centre tofauti na kenya, nairobi na mombasa terminal ziko nje hivyo zinatumika pale kunapokuwa na safari za train tu, ni wastage of money kwa majengo yale kuwa idle muda mrefu.Hapo mbele patakua na station kaliii, mixed use, with malls and other recreational facilities.
na kigongo-busisi bridge karibu km 3 tender nasikia itatangazwa soon.Kiufupi tunaenda kuivunja rekodi yetu wenyewe, Nyerere bridge haijapata mpinzani hapa EA toka limalizike, sasa Selander bridge likimalizika tutatengeneza rekodi hiyo hiyo: The longest suspension bridge in EA
View attachment 972971
Hilo daraja ujenzi unaanza muda sio mrefu...na kigongo-busisi bridge karibu km 3 tender nasikia itatangazwa soon.
na nafikiri kama hakutakuwa na wafadhili sgr phase 3 makutupora-tabora jpm anaweza anza jenga mara baaada tu ya phase 1 kuisha hapo mwakani.Hilo daraja ujenzi unaanza muda sio mrefu...
Isaka to DRC tiyali kuna ADB kama wafadhili...Hicho kipande tutamaliza sisi...na nafikiri kama hakutakuwa na wafadhili sgr phase 3 makutupora-tabora jpm anaweza anza jenga mara baaada tu ya phase 1 kuisha hapo mwakani.