Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tutaelewana tu, kama sio kwa lugha ya kiswahili au kingereza basi kwa lugha za kienyeji za makabila ya kenya.

tunajua kuwa mnafatilia kimya kimya huku mkiwa mmejaa kisirani na hasira vivuani.

today our prime minister kassim majaliwa has launched a special tv channel dedicated for broadcasting tourism related issues in tanzania.


 
mwambie huyo kahaba housemaid thread hii haiwezi kuwa bored kwasababu ya kukosekana wakenya.

itaendelea kuwepo mpaka 2025. tutahahikisha tunaitumia kama platform ya ku update progress ya project zinazoendelea nchini tanzania.

mtakuwa mnapita kimyakimya kutazama picha.
 
Ni kweli kabisa[emoji103][emoji103]
 
Hvi kweli mchina ataona pepo 3.8b usd nairobi to mombasa alaf uozo huu[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 969230
Yan hapo kitu kimepigwa rangi na kufanyiwa modify ndogo ndogo hlf akapigwa mungiki $3.8,a lot of money bro kwa taka taka,mungiki wanaumia kimoyo moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ