Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,429
Office of the Governor in Nairobi Kenya is bigger than the statehouse in Dar is Slum
weka ushahidi wako kwani supu imekufanyia niniSiku nyingine usitoe kitu huna ushahidi huna 😂😂😂😂😂😂
Uwezo wa akili yako ni mdogo sana kung'amua vitu kama hivyoTRA INACOLLECT 7B USD hapo huwezi nipinga
hizo ngazi na kama unapanda lorry!
aisee mchina kawalisha matango pori!
halafu huipinga sana TFDA kumbuka hihii TFDA ndo ilichoma vifaranga vyao!watakuwaje vinara wa vitu kama hivi ilhal miezi michache tu iliyopita kuna kiongozi wao mmoja alikuwa anahusika kwenye scandal ya kuuza sukari yenye sumu.
View attachment 967748View attachment 967750
aisee mchina kawalisha matango pori!
Mchina kawakamata vibaya sana hawa jamaa sijui wapi walimkosea Mungu👏👏🇹🇿🇹🇿hizo ngazi na kama unapanda lorry!
Haha we Jamaa ni kituko sanaOffice of the Governor in Nairobi Kenya is bigger than the statehouse in Dar is Slum
View attachment 968045
Tunaelewa Tanzagiza ina uchumi wa mdomo.😉Uwezo wa akili yako ni mdogo sana kung'amua vitu kama hivyo
Tunawaeleza kila kukicha Tanzania haina uchumi wa Vijikaratasi unaishi Kibera kutwa humu Ni GDP
Hebu Jiulize
SGR Cash
Ndege 7 Cash
Bwawa la umeme Cash
Barabara njia 8 Cash
Pale uwezo wakichwa chako kufikiria unapo ishia ndio Tunaanzi hapo
na bado Magu ana miaka 3 tu kati ya 10
hahahahahahahahaha tumia akili ulipea bure hautalipishwa kuitumia..propaganda za CCM inakubrain washUwezo wa akili yako ni mdogo sana kung'amua vitu kama hivyo
Tunawaeleza kila kukicha Tanzania haina uchumi wa Vijikaratasi unaishi Kibera kutwa humu Ni GDP
Hebu Jiulize
SGR Cash
Ndege 7 Cash
Bwawa la umeme Cash
Barabara njia 8 Cash
Pale uwezo wakichwa chako kufikiria unapo ishia ndio Tunaanzi hapo
na bado Magu ana miaka 3 tu kati ya 10
Dar city
Haha kazuriAnd you say Nairobi girls are not beautiful.
View attachment 968057
Mchina kawakamata vibaya sana hawa jamaa sijui wapi walimkosea Mungu👏👏🇹🇿🇹🇿