tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Nyie mnatakataka ngap apo NBO? Do you think Nairobi ni mji wa maana sana ukiondoa maeneo machache yanayofahamika?NBO hakuna kitu inamsumbua mtu😳😳😱😱😡😡😡 kitu ntasema tu. Yaani hata sijui niseme. 😡😡😡😡😱😱😳😳😳 Wakenya tusije tena kujidhalilisha kufananisha mji wowote Kenya na hii takataka kama sio Dadaab ama Kakuma. NKT😡😡😡
NIMEKOMA KABISA KHERI MOD AFUNGE UZI KABISA. WHAAAAAAAT

