Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lumumba clinic under construction in kisumu
lumumba 2.jpg
lumumba.jpg
 
View Project
Paper hiyo imetoka Sept 2018 in the making..
Dar es Salaam ya 2025 itakuwa ni moto sana in terms of infrastructures which is good
Cheki hilo expressway
-BRT 2,3 & 4 Hizi zitabadili sura ya city center kabisa maana zitaoccupy almost asilimia 90 ya barabara zote za katikati ya mji cheki map
-The development of Msimbazi Basin.
-Daraja jipya la Salendar Bridge.
- Interchange ya Ubungo.
- Barabara ya Dar es Salaam- Kibaha.
-The Airport City
...........
Asante Rais Magufuli asante Rais Mstaafu Kikwete Asante Watanzania Asante Africa Asante Dunia.

nimesahau SGR na Station zake hatari
Kabisaaaa
 
siku omba omba wa tanzania wataacha kuja kenya nitajua tanzania is making progress ya kutoka katika minyororo ya aibu duniani ya kundi la mataifa maskini sana duniani yaani LDC
 
siku omba omba wa tanzania wataacha kuja kenya nitajua tanzania is making progress ya kutoka katika minyororo ya aibu duniani ya kundi la mataifa maskini sana duniani yaani LDC
Ombaomba hawana makwao mbona mukiwakamata wa congo na sudan munawarudisha kwao ina maana hawana makwao au munawadanganya wazungu kuficha aibu zenu 😂😂😂😂😂😂
 
siku omba omba wa tanzania wataacha kuja kenya nitajua tanzania is making progress ya kutoka katika minyororo ya aibu duniani ya kundi la mataifa maskini sana duniani yaani LDC
hao ombaomba wanapitaje kwa borders za kenya?.don't tell us they have official travelling documents.

bila shaka migration officers wenyu na kenya police huko migration college na police academy wanaenda ku-train ujinga.
 
Back
Top Bottom