Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,430
Mambo ya kurukaruka Kwa maji yalipitwa na wakati. Hata watoto hawataki. Hii huko Dar mnafanyia nini!? Splash water world Nairobi iko kufungwa.Nimekuonesha nilijua hujui tu😂😂😂
Mimi nilipost a talent development center, wewe unanitag na fun city!!??🙄🙄🙄🤔
Ningetaka fun, ningekupa vitu kama hivi in Nairobi Kenya
Hizi zipo lakini nani ataenda!!? Watu hawependi.